Judi wa Kishua
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,242
- 1,472
Lema alisema ni heshma na baraka kumzomea Lowasaa.
Inawezekana ukawa na shida ya mdikio au ni mjinga tu weka picha ya kuzomewa kwakeUhuru Kenyatta alimwalika Lowassa kwenye kampeni zake za Urais nchini Kenya.
Lowassa alisimama na kumuombea Uhuru Kenyatta kura, lakini alizomewa sana kwa tukio hilo.
Ni jambo la aibu Sana kwa Kiongozi huyu kuzomewa, ni fedheha kubwa Sana, ni dharau mbaya Sana Wakenya walioionyesha kwa Mheshimiwa Lowassa.
Je? kuna kosa alilofanya Mheshimiwa Lowassa mpaka kupata madhira haya?
Tujadili kwa mapana, ili tujue tatizo lilikua ni nini, ili lisijetokea tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmbea kama sura yakoUhuru Kenyatta alimwalika Lowassa kwenye kampeni zake za Urais nchini Kenya.
Lowassa alisimama na kumuombea Uhuru Kenyatta kura, lakini alizomewa sana kwa tukio hilo.
Ni jambo la aibu Sana kwa Kiongozi huyu kuzomewa, ni fedheha kubwa Sana, ni dharau mbaya Sana Wakenya walioionyesha kwa Mheshimiwa Lowassa.
Je? kuna kosa alilofanya Mheshimiwa Lowassa mpaka kupata madhira haya?
Tujadili kwa mapana, ili tujue tatizo lilikua ni nini, ili lisijetokea tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jitu kubwa alafu liongo,tumeona Lowasa akiutubia mkutano huo alioalikwa na Kenyatta wapi kazomewa?Uhuru Kenyatta alimwalika Lowassa kwenye kampeni zake za Urais nchini Kenya.
Lowassa alisimama na kumuombea Uhuru Kenyatta kura, lakini alizomewa sana kwa tukio hilo.
Ni jambo la aibu Sana kwa Kiongozi huyu kuzomewa, ni fedheha kubwa Sana, ni dharau mbaya Sana Wakenya walioionyesha kwa Mheshimiwa Lowassa.
Je? kuna kosa alilofanya Mheshimiwa Lowassa mpaka kupata madhira haya?
Tujadili kwa mapana, ili tujue tatizo lilikua ni nini, ili lisijetokea tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM ni mazuzu haswaBro achana na siasa japo mimi sio mfuasi wa siasa za afrika ila nlifatilia kampeni za kenya na sikuona sehem mtu kazomewa..
Acha uongo hawakuzomea hii dunia ya teknolojia si ya kudanganya mcha kweupeeeUhuru Kenyatta alimwalika Lowassa kwenye kampeni zake za Urais nchini Kenya.
Lowassa alisimama na kumuombea Uhuru Kenyatta kura, lakini alizomewa sana kwa tukio hilo.
Ni jambo la aibu Sana kwa Kiongozi huyu kuzomewa, ni fedheha kubwa Sana, ni dharau mbaya Sana Wakenya walioionyesha kwa Mheshimiwa Lowassa.
Je? kuna kosa alilofanya Mheshimiwa Lowassa mpaka kupata madhira haya?
Tujadili kwa mapana, ili tujue tatizo lilikua ni nini, ili lisijetokea tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
CCM bado wanafanya uongo kama wa mwl alikuwa na tv pekee anadanganya watu kuwa ameota kumbe ameona kwenye tv.Acha uongo hawakuzomea hii dunia ya teknolojia si ya kudanganya mcha kweupeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimesema concern yangu sio content bali video!Nilikuwa naonesha kuwa mleta mada kasema uongo kuwa Lowassa alizomewa!Kwani Uhuru ni mpinzani wa nani na siasa za Kenya zipo sawa na siasa za Kenya.Lowassa anapoteza tu muda wake
Acha kichaa wewe lowasa alishangiliwa mbaya, tuwekee kideo kuonyesha anavyozomewaUhuru Kenyatta alimwalika Lowassa kwenye kampeni zake za Urais nchini Kenya.
Lowassa alisimama na kumuombea Uhuru Kenyatta kura, lakini alizomewa sana kwa tukio hilo.
Ni jambo la aibu Sana kwa Kiongozi huyu kuzomewa, ni fedheha kubwa Sana, ni dharau mbaya Sana Wakenya walioionyesha kwa Mheshimiwa Lowassa.
Je? kuna kosa alilofanya Mheshimiwa Lowassa mpaka kupata madhira haya?
Tujadili kwa mapana, ili tujue tatizo lilikua ni nini, ili lisijetokea tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani huyu hakustahili kuzomewa tu, alistahili kupigwa kabisa. Uchaguzi WA Kenya unamhusu nini hasa, ana maslahi gani huko ukizingatia true in Mtz? Haoni kwamba anaingilia internal affairs za Kenya? Ukihamia kwa Manyumbu ni Lazima akili zako zifanane na Manyumbu.Uhuru Kenyatta alimwalika Lowassa kwenye kampeni zake za Urais nchini Kenya.