Annny
Senior Member
- Jul 9, 2017
- 150
- 167
Mshaurini raisi wa Urusi aache kuingilia mambo yasyomhusu huko Marekani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Katazo la Mikutano ya vyama vya kisiasa limemfanya EL kuwa na uwezo wa kuvuta watu zaidi...walahi siasa ni sanaaaa ya hatariMzee anatapa Tapa sana hapo uhuru ange mwita Rais wetu Mpendwa Magu ndo angepata kura nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumekua tukiona Rais JPM akionyesha urafiki na ukaribu wa dhati kabisa na Mgombea urais wa upinzani Kenya ambaye ni Raila Odinga. Imeonekana wazi kuwa Rais JPM anampa sapoti kabisa Ndg Raila Odinga ili ashinde uchaguzi wa Kenya mwaka huu.
Vivyo hivyo tumemuona aliyekuwa Mgombea urais wachama cha upinzani Tanzania mwaka 2015 Edward Lowassa, akimsapoti kwa hali na mali Rais wa Kenya Uhuru Kenyata ili aweze kushinda uchaguzi kwa mara ya pili nchini Kenya.
Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta
Hii Imeonekana kama ni mchezo wa kukomoana baina ya wawili wa Kenya na wawili wa Tanzania.
Yaani Mpinzani mkuu Tanzania, anamsapoti mtawala wa Kenya na mpinzani mkuu Kenya, anapewa sapoti na mtawala wa Tanzania.. Is it a coincidence?
Binafsi mimi sipendelei kwa wanasiasa wa nchi yetu kuingilia chaguzi za wengine in order to get something in return. Hii ni kutokana na ukweli kwamba, marais nao ni binadamu, huwa wanakasirika na huweza pia kulipa kisasi.
Sidhani kama JPM anafurahia Lowassa kumuunga mkono uhuru, na sidhani pia kuwa Uhuru anafurahia Odinga kusapotiwa na Tanzania.
Hivyo, kuna harufu flani ya kuja kulipizana visasi na kukomoana in the future baina ya nchi hizi mbili kisa tu fulani alimsapoti fulani.
Yaani uhusiano wa hawa watu wanne, maana yake chanya yenye manufaa kwa wananchi wa nchi hizi mbili ni yapi? Naona ni kila mtu anamsapoti mwenzake kwa ajili ya faida yake mwenyewe ya kuja kusapotiwa pia ili ashinde.
Inaleta picha mbaya kwa Rais wetu kumsapoti mpinzani wa Rais wa nchi jirani badala ya kuwa neutral kwa kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia bila kufungamana na upande wowote.
Pia inaleta picha mbaya kwa mpinzani mkuu wa nchi yetu kujihusisha moja kwa moja na kampeni za Rais wa nchi jirani. Hii itamletea uhasama na mpinzani wa nchi hiyo endapo mpinzani huyo akishinda.
Ngoja nipate asali na mdalasini narudi..
Nakubaliana na weweUhuroto watashindwa vibaya mno, wameingia chaka kumtumia mtu mwenye nuksi na siasa. Huyu mzee hana ushawishi wowote, anajulikana ni fisadi hata kila mkenya anajua hilo, sasa akina uhuruto nao ni mafisadi?
Uhuroto watashindwa vibaya mno, wameingia chaka kumtumia mtu mwenye nuksi na siasa. Huyu mzee hana ushawishi wowote, anajulikana ni fisadi hata kila mkenya anajua hilo, sasa akina uhuruto nao ni mafisadi?