Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

Kaenda kupiga picha tu huyu. Mtu asiyeweza hata kuongea sera zake tu, atasaidia nini kwa Wakenya?

Kenyatta hajitambui kwa nini alishindwa?

Hapa ni vibaka wa fedha na siasa wamekutana mitaani.
Kaenda kupiga picha halafu povu lote hili linakutoka kisa?
 
Uhuru Kenyatta alimwalika Lowassa kwenye kampeni zake za Urais nchini Kenya.
Lowassa alisimama na kumuombea Uhuru Kenyatta kura, lakini alizomewa sana kwa tukio hilo.

Ni jambo la aibu Sana kwa Kiongozi huyu kuzomewa, ni fedheha kubwa Sana, ni dharau mbaya Sana Wakenya walioionyesha kwa Mheshimiwa Lowassa.

Je? kuna kosa alilofanya Mheshimiwa Lowassa mpaka kupata madhira haya?

Tujadili kwa mapana, ili tujue tatizo lilikua ni nini, ili lisijetokea tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nendeni kamfuteni machozi Dikitekta uchwara mdogo Raila, mualikeni tena chato
 
Baada ya kumtukana lowassa leo Kimambe eti yuko upande wa lowassa, eff this b****!
 
Uhuru Kenyatta alimwalika Lowassa kwenye kampeni zake za Urais nchini Kenya.
Lowassa alisimama na kumuombea Uhuru Kenyatta kura, lakini alizomewa sana kwa tukio hilo.

Ni jambo la aibu Sana kwa Kiongozi huyu kuzomewa, ni fedheha kubwa Sana, ni dharau mbaya Sana Wakenya walioionyesha kwa Mheshimiwa Lowassa.

Je? kuna kosa alilofanya Mheshimiwa Lowassa mpaka kupata madhira haya?

Tujadili kwa mapana, ili tujue tatizo lilikua ni nini, ili lisijetokea tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ficha upuuzi wako huna ushahidi wowote! Na lumumba hawana uwezo wa kutengeneza video ya kughushi
 
Bro achana na siasa japo mimi sio mfuasi wa siasa za afrika ila nlifatilia kampeni za kenya na sikuona sehem mtu kazomewa..
Hivi hii imekaaje ya upinzani kuunga mkono chama tawala nchi jirani sio kwamba huwa wana umoja wao Wa upinzani ambapo huwa wana peana support??
 
Back
Top Bottom