Edward Lowassa ampongeza Rais Dr. John Magufuli

Edward Lowassa ampongeza Rais Dr. John Magufuli

Lowassa atupishe kama na yeye alihusika kwenye ufisadi wa madini alipokuwa CCM nae aunganishwe na masisiemu.
 
Pamoja na mambo yote Lowassa anaiona busara ya Rais Magufuli ktk kushughulikia mikataba ya madini. Tundu Lissu afike mahali aelewe chuki zake binafsi kwa CCM zisimpofushe macho kiasi cha kutoona utendaji mwema unaoonyeshwa na Magufuli. Lissu anapaswa kuonyesha ukomavu wa kisiasa pale taifa linapopigania haki zake! Source ITV habari
 
hahahahah Kama namuona kitambi Lissu.
 
lisu endelea kuchochea, hadi achome na katiba tupate mpya
 
Edward lowasa ni mwizi kama wezi wenzake wengi walioko ccm
 
Not all Mr Lowassa you can only fool all the people some of the times but not always.

Hicho unachokifanya ni mtego wa kisiasa, it is to include the Raisi in to the mud of the mining contracts. You mentioning how the system worked is to say we were all involved meaning yourself , Sumaya, magufuli and those who all served from Ali Hasan mwinyi times until JMK.

Hapo unejaribu kujitetea kwa kuhakikisha kama ni kuchunguzwa basi waliokuwemo NA wasiokuwemo wote wachunguzwe.

You are definitely a better politician than the VUVUZELA LAWYER
 
Waziri Mkuu wa awamu ya 4 Ampongeza Dr. John Magufuli.
Aliyekuwa Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mh. Edward Lowassa ampongeza Rais John Pombe Magufuli kwa hatua aliyoichukuwa ya kusimamia rasilimali za nchi kikamilifu huku akidai kuwa tiba ya matatizo yote hayo ni upatikanaji wa katiba mpya

Mungu si Athumani, Lowassa na mtandao wake walitumia kila hila kukwamisha Katiba ya Warioba akiamini kuwa angekuwa rais na alitaka awe rais mwenye 'nguvu'. Kwa ujanja wake ndio akaleta Katiba ya Chenge. Leo hii bila aibu analilia Katiba! Tamaa ya madaraka ni sumu.
 
Lowassa leo ameonyesha kweli yeye yupo safi na anajiamini kweli. haogopi

Akihojiwa na Charles Hilali kuhusu sakata la mikataba ya madini, na sheria zake za madini. Alipohojiwa kuhusu maamuzi aliyochokuwa Rais, Lowassa amesema wazi kuwa alipokuwa anafanya kampeni Geita aliahidi kupitia upya mikataba yote na sheria za madini, pia akampongeza Rais.

swali la pili kuhusu kuwajibisha walikuwa kwenye nafasi wakati wa mikataba hiyo, amejibu kuwa hakuna mkataba unaosainiwa na wizi pekee yake bila kujadiliwa na baraza la mawaziri, na kisha kupewa go ahead na Rais.

Kuhusu lawama inayopelekwa kwa bunge, amesema wabunge wanatekeleza sera za ccm kwahiyo wakulaumiwa ni ccm na wabunge wake.

Well done Lowassa leo nimeshangaa kumsikia mzee huyu akiongea kwa umakini mkubwa

 
Waziri Mkuu wa awamu ya 4 Ampongeza Dr. John Magufuli.
Aliyekuwa Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mh. Edward Lowassa ampongeza Rais John Pombe Magufuli kwa hatua aliyoichukuwa ya kusimamia rasilimali za nchi kikamilifu huku akidai kuwa tiba ya matatizo yote hayo ni upatikanaji wa katiba mpya


P
That is why this guy is far intelligent than the so out spoken lawyer. That is the difference with them. He weighs everything before he speaks.
He needs to be understood so.
 
Huyu mzee mbona hilo shati analipenda sana,
Nimeanza kumuona nalo tangu kipindi cha kampeni 2015 akiwa na aliyekuwa mbunge wa jimbo la kahama Mh James Lembeli.
 
P
That is why this guy is far intelligent than the so out spoken lawyer. That is the difference with them. He weighs everything before he speaks.
He needs to be understood so.
mwizi lazima achague maneno..lowasa ni mwizi
 
Back
Top Bottom