""Rais akishakubali jambo aliloletewa na mawaziri (collective cabinets) hilo jambo linakuwa n la raisi atakayewajibika n raisi"""
Mzee ENL kashajikataa hapa
Halafu akasema wakina zitto kabwe , tundu lissu, mnyika waliomba mikataba hii wakakataliwa , sasa kipindi zitto anaomba hiyo mikataba mpaka akafukuzwa bungeni tayari jamaa alikuwa sio waziri mkuu hapa pia kajikataa .
Anasema hii mikataba tusipokuwa nayo makini tutalipishwa zaidi. Na pia kampongeza raisi kwa nia yake njema na Kama pia data si za KUPIKWA.
Kingine akaomba KATIBA MPYA(Ambayo n Sera ya upinzani)""""
Kwa maono yangu huyu Mzee anatekniki Sana kwanza kaja kufunika hii ishu na yeye kuonekana kwenye magazeti
Pili kaja kupigia kampeni upinzani
Tatu kaja kuonyesha pia aliwahi kuvunja mkataba halafu akaushinda( City water) hongera kwa hilo Mzee wangu EDWARD NGOYAI LOWASSA.
Ila wale manungaembe ya Lumumba hasa huyu aliyeleta huu uzi atakuwa hajaelewa pqmoja na wenzake.
Hongera Sana bingwa wa Siasa Tanzania.