Edward Lowassa ampongeza Rais Dr. John Magufuli

Edward Lowassa ampongeza Rais Dr. John Magufuli

Ni ujuha kusema lisu anatetea majambazi na mafisadi. Wakati bungeni alipiga kelele za kutosha.

Juzi tu wanaoshadadia hili suala walipeleka mswada wa gesi ukapita kwa dharura. Lisu alipiga kelele akaitwa mnafiki na si mzalendo. Magufuli ataondoka Athari zitajitokeza hili nalo visingizio vitatafutwa.
 
Haya na nyumbu nao watabadilisha na kufuata kupongeza maadamu aliyeshika akili zao keshasema, utamuona Tundu, Mbowe, Msigwa, na takataka wengine wakibadilisha mawazo!

Ahahaaaaaa a.....kweli lakini.
 
Haya na nyumbu nao watabadilisha na kufuata kupongeza maadamu aliyeshika akili zao keshasema, utamuona Tundu, Mbowe, Msigwa, na takataka wengine wakibadilisha mawazo!
Nyumbu wenye upumbavu wa kushangilia na kupelekwa kama kondoo Wako Lumumba
 
Ni ujuha kusema lisu anatetea majambazi na mafisadi. Wakati bungeni alipiga kelele za kutosha.

Juzi tu wanaoshadadia hili suala walipeleka mswada wa gesi ukapita kwa dharura. Lisu alipiga kelele akaitwa mnafiki na si mzalendo. Magufuli ataondoka Athari zitajitokeza hili nalo visingizio vitatafutwa.
Ni kweli alikuwa akipga kelele kwa wakati huo. Lakini kwa sasa ni mtetezi mkubwa wa hao majizi. Sababu ya kuwatetea anaijua yeye.
 
Ni ujuha kusema lisu anatetea majambazi na mafisadi. Wakati bungeni alipiga kelele za kutosha.

Juzi tu wanaoshadadia hili suala walipeleka mswada wa gesi ukapita kwa dharura. Lisu alipiga kelele akaitwa mnafiki na si mzalendo. Magufuli ataondoka Athari zitajitokeza hili nalo visingizio vitatafutwa.
Kumbe na humu upo huwa nakusoma tu kule. Hongera mkuu
 
Ni kweli alikuwa akipga kelele kwa wakati huo. Lakini kwa sasa ni mtetezi mkubwa wa hao majizi. Sababu ya kuwatetea anijua yeye.
Nimesoma uzi wa lisu nimemwelewa saana. Yule ni mpinzani usitegemee amshauri magufuli kama Majaliwa atakavyo mshauri.
 
Leo nimejionea mwenyewe kwamba kunawakati unafika watanzania kuweka itikadi zetu za vyama chini na Tanzania kwanza, pale waziri mkuu mstaafu na KADA na kiongozi wa CDM alipoamua kumpongeza raisi JPM kwa kudhubutu kulivalia njuga swala la madini yetu na mikataba ambayo anasema imekuwa ni tatizo tangu hata yeye alipokuwa waziri mkuu, tena kasema anaomba waojiwe wote waliousika ktk sakata zima la mikataba,lkn akasema anaomba hekima na busara itumike.
 
Hapana Kuna Vyeo Kama ukivishika Utaendelea kuwa navyo

Balozi Hamis Kagasheki
President Obama
Secretary Hillary Clinton
Waziri Mkuu Lowassa
Judge Lubuva
President Bush
President Kikwete
Rais Mwinyi

Kwa President na Prime Minister wanaongeza neno mstaafu...usidanganye hapa..ulipaswa kuandika waziri mkuu mstaafu.Kwa balozi sawa cheo huwa kinabaki hivyo hivyo
 
Haya vijana wa Lumumba njooni mtokwe na Povu, jedari lowasaa kanena
 
Ni ukomavu wa kisiasa, kumpongeza anayefanya yale ambayo watanzania wengi walikuwa wanatamani yafanyike. Kwa hili tunaomba tu lipate positive yields.
 
Back
Top Bottom