Lowassa leo ameonyesha kweli yeye yupo safi na anajiamini kweli. haogopi
Akihojiwa na Charles Hilali kuhusu sakata la mikataba ya madini, na sheria zake za madini. Alipohojiwa kuhusu maamuzi aliyochokuwa Rais, Lowassa amesema wazi kuwa alipokuwa anafanya kampeni Geita aliahidi kupitia upya mikataba yote na sheria za madini, pia akampongeza Rais.
swali la pili kuhusu kuwajibisha walikuwa kwenye nafasi wakati wa mikataba hiyo, amejibu kuwa hakuna mkataba unaosainiwa na wizi pekee yake bila kujadiliwa na baraza la mawaziri, na kisha kupewa go ahead na Rais.
Kuhusu lawama inayopelekwa kwa bunge, amesema wabunge wanatekeleza sera za ccm kwahiyo wakulaumiwa ni ccm na wabunge wake.
Well done Lowassa leo nimeshangaa kumsikia mzee huyu akiongea kwa umakini mkubwa