ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,529
Unauwa hahahaha.,,,,Huyo luwasa ni wazir mkuu labda huko kwenu sisi hatuna wazir mkuu fisad kubwa kama huyo
Anajifanya kupongeza ili asihojiwe lazima awamu akanyee ndoo huyo babu la mafisad
Unauwa hahahaha.,,,,Huyo luwasa ni wazir mkuu labda huko kwenu sisi hatuna wazir mkuu fisad kubwa kama huyo
Anajifanya kupongeza ili asihojiwe lazima awamu akanyee ndoo huyo babu la mafisad
MZEE NAKUOMBA UJE UMCHUKULIE HATUA KALI SANA KUBENEA , KUMBE UNAHEKIMA HIVYO, ALITUHAMINISHA WEWE NI FISADI. KWAHILI NAKUUNGA MKONOView attachment 523400
Hapana Kuna Vyeo Kama ukivishika Utaendelea kuwa navyo
Balozi Hamis Kagasheki
President Obama
Secretary Hillary Clinton
Waziri Mkuu Lowassa
Judge Lubuva
President Bush
President Kikwete
Rais Mwinyi
Kumekucha!
Waziri Mkuu wa awamu ya 4 Ampongeza Dr. John Magufuli.
Ndio hivyo tena. Ameshampongeza, sasa wewe shauri yako.Lowassa...hakutakiwa kumpongeza Raisi...
Angalia usije ukafukuzwa chama dogo!!Lowassa ameongea ukweli lakini hakutakiwa kumpongeza Raisi kwa sababu naye amehusika katika kupitisha sheria mbovu za mikataba ya madini.
Lazima mstaafu limalizikieHapana Kuna Vyeo Kama ukivishika Utaendelea kuwa navyo
Balozi Hamis Kagasheki
President Obama
Secretary Hillary Clinton
Waziri Mkuu Lowassa
Judge Lubuva
President Bush
President Kikwete
Rais Mwinyi
Jamaa umeweka gazeti mpaka leo.....
Kwa hii nchi ya Tanzania nawaheshimu saana.Huyo luwasa ni wazir mkuu labda huko kwenu sisi hatuna wazir mkuu fisad kubwa kama huyo
Anajifanya kupongeza ili asihojiwe lazima awamu akanyee ndoo huyo babu la mafisad
Hilo halina ubishi mkuu...watafyata woteHaya na nyumbu nao watabadilisha na kufuata kupongeza maadamu aliyeshika akili zao keshasema, utamuona Tundu, Mbowe, Msigwa, na takataka wengine wakibadilisha mawazo!
Avatar yako mungu anakuona!!Huuuuu.