Bado hujaelewa sikiliza tena mkuu tena sikiliza kwa masikio matatu utamwelewa Sana tena sanaLowassa ameongea ukweli lakini hakutakiwa kumpongeza Raisi kwa sababu naye amehusika katika kupitisha sheria mbovu za mikataba ya madini.
Ana busara za kusahau. Umesikia alivyopata shida kulitaja jina la Tundu Lissu.Sijui kama Mmemuelewa Vizuri ninyi WanaLumumba huyu Mzee mwenye Busara zake?
Sawa, kutaja jina vibaya si shida, tatizo je umemuelewa Context nzima ya hoja yake?Ana busara za kusahau. Umesikia alivyopata shida kulitaja jina la Tundu Lissu.
Mungu yupi?Magufuli ni chaguo la Mungu
Ingia ndani ya ubongo wako utapata majibu sahihi mkuu.Yaani huyu mzee damu yake bado imejaa uccm. Anaipenda sana ccm basi tu. Maana hata watu wa upinzani kuwataja majina yao inamshinda. Daah
Unampangia cha kuzungumza????Lowassa ameongea ukweli lakini hakutakiwa kumpongeza Raisi kwa sababu naye amehusika katika kupitisha sheria mbovu za mikataba ya madini.
Ni AndrewKwa hii nchi ya Tanzania nawaheshimu saana.
1. Endrew Chenge
2. Edward Lowasa
Hawa kamwe hawawindi swala wao wanawinda Tembo tu. Na wote majina yao yanaanzia na E.
Anzia na E ndiyo inanoga[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni Andrew
Sasa wewe, hutaki wapongeze, ?Kinachotendeka lazima kipongezwe mradi tu kiwe chemaHaya na nyumbu nao watabadilisha na kufuata kupongeza maadamu aliyeshika akili zao keshasema, utamuona Tundu, Mbowe, Msigwa, na takataka wengine wakibadilisha mawazo!