Hahaha uzuri ni kuwaKwa nini kila mtu anamwambia hivi mtu huyu MOTOCHINI? hebu msaidieni tiba basi maana ujinga mzigo jamani!
Kujiheshimu si hisani, vichwa maji hutoa chochote kinachokuja mawazoni.Wewe mwanamke au Mbowe mwanamke?!!!
Si kila tajiri ni fisadi. Acha matusi ya rejareja.Title inatakiwa kuwa" Matajiri mafisadi" wawili wakutana Dar eS salaam.
Yap, ni kama vile kulikuwa na hafla/kikao/mkutano fulani na huo wakati wa chakula cha mchana.Mkuu huoni kwamba wamekutana kwenye chakula kila mtu akisogelea kupakua msosi. Ingekuwa mkutano rasmi wangekaa mezani wakizungumza.
Mh. Edward Lowassa Waziri mkuu mstaafu wa Tanzania alipokutana na Mh. Raila Odinga waziri mkuu mstaafu wa Jamuhuri ya watu wa Kenya mchana wa leo jijini Dar es salaam.
You are not entitled to your opinion. You are entitled to your informed opinion. No one is entitled to be ignorant.INABIDI TUMPATIE TIBA KINGUVU SASA ILI KUMUONDOA UJINGAA
Hujitambui weweKujiheshimu si hisani, vichwa maji hutoa chochote kinachokuja mawazoni.
OPHORE MED AT VAERE FATTING LORTYou are not entitled to your opinion. You are entitled to your informed opinion. No one is entitled to be ignorant.
Hiyo English course mpe mkuu wako ili imwezeshe kupaa majuuYou are not entitled to your opinion. You are entitled to your informed opinion. No one is entitled to be ignorant.
Two things are infinite: the universe and human stupidity; and I'm not sure about the universe.Hiyo English course mpe mkuu wako ili imwezeshe kupaa majuu
English yenyewe sasa!!! What a pity!Hiyo English course mpe mkuu wako ili imwezeshe kupaa majuu
Ha ha ha, I'm the politician. Na majuu siendi ng'o! Labda kanda ya sato na sangara tuu.Hiyo English course mpe mkuu wako ili imwezeshe kupaa majuu
Ha, ha, ha, haa!Ha ha ha, I'm the politician. Na majuu siendi ng'o! Labda kanda ya sato na sangara tuu.
Hilo pia ni tatizo kwa CCM?Naona kama wamekutana wakati kila mtu ameenda kivyake Karambezi kula ugali na si mkutano rasmi.
Acknowledge ulikocopy, huo ni wiziTwo things are infinite: the universe and human stupidity; and I'm not sure about the universe.