Edward Lowassa akutana na Raila Odinga wa Kenya Jijini Dar es Salaam Leo

Edward Lowassa akutana na Raila Odinga wa Kenya Jijini Dar es Salaam Leo

Vibendera bwana
Kwahio mmeona pakutokea na hapo!!
Mwenzenu anatumia vizuri pesa za chama
Tazama makao makuu ya ODM

ODM.jpg

rahyvj18wxezexobc5662f26461bb2.jpg

Mje mlinganishe na pale ufipa banda la kuku hahaha
Michango kila kukicha lakini ukihoji tu!!!!
 
Lowassa ni mwanaume kila penye fursa yeye anatia maguu
 
Haya................!

Halafu Magufuli anaweza akavunja Urafiki wake na Odinga hivihivi. Maana Odinga sasa ataonekana yupo huku na huku.

Kama hajampigia Kennyatta hadi Muda huu

Maana Magufuli anawaza tu kwamba hapo kuna uwezekano anatoa siri ya mafanikio ya maandamano yaliyoing'oa tume ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya.IEBC

Halafu kuna Mwaliko wa Kwenda Zambia keshokutwa

Yeye Magufuli Swaziland kusheherekea Mswati kupata Mke wa 15
Sorry Ben naomba kujua hivi Yale maandamano ya Kenya ya kuikataa tume yalipekekea time kuvunjwa?
 
Mzee wa chato atakuwa kamtuma raila kwA lowasa,ili ajaribu kuweka mambo Sawa.....
Kuna mambo yanamwendea kombooo

Ova
 
Ujinga umekujaa
Vibendera bwana
Kwahio mmeona pakutokea na hapo!!
Mwenzenu anatumia vizuri pesa za chama
Tazama makao makuu ya ODM

ODM.jpg

rahyvj18wxezexobc5662f26461bb2.jpg

Mje mlinganishe na pale ufipa banda la kuku hahaha
Michango kila kukicha lakini ukihoji tu!!!!
 
....

Maana Magufuli anawaza tu kwamba hapo kuna uwezekano anatoa siri ya mafanikio ya maandamano yaliyoing'oa tume ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya.IEBC
....
Wamarekani wamenipoteza kweli na uchaguzi wao wa 'mazingaombwe'...mpaka hii imenipita. Hivi kumbe yule mwenyekiti wa Tume ametimuliwa!! Ila alistahili kweli kauli zile kwa Odinga hazikuwa 'fair' kabisa. Hata huko kwetu kwenye maji mengi na ardhi kidogo Bwana yule alitakiwa aende na maji ingawa varanganti zilitoka kotekote.
 
Mh. Edward Lowassa Waziri mkuu mstaafu wa Tanzania alipokutana na Mh. Raila Odinga waziri mkuu mstaafu wa Jamuhuri ya watu wa Kenya mchana wa leo jijini Dar es salaam.
Mbona nyuma yao kuna msosi au wamekutana kwenye banda la maonyesho?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom