Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,543
Hansard ndiyo inatunuku ustaafu?EL ni Waziri Mkuu Mstaafu? Tangu Lini hiyo? Hansard ya Bunge umeisoma wewe?
Hansard ndiyo inatunuku ustaafu?EL ni Waziri Mkuu Mstaafu? Tangu Lini hiyo? Hansard ya Bunge umeisoma wewe?
Lowassa kastaafu lini?Mh. Edward Lowassa Waziri mkuu mstaafu wa Tanzania alipokutana na Mh. Raila Odinga waziri mkuu mstaafu wa Jamuhuri ya watu wa Kenya mchana wa leo jijini Dar es salaam.
Washikilia ukuta mlilia lia sana na kulaani kitendo cha Odinga kumtembelea kipenzi cha watanzania Rais Magufuli (PhD) chato,huku mkipiga ramli za Tanzania na Kenya kuingia mgogoro wa kidiplomasia........mnabadili ramli tena kuwa atafichua siri....tatizo kubwa mwasisi wa kushikilia ukuta..Mbowe amewajengea hofu na kutojiamini.Haya................!
Halafu Magufuli anaweza akavunja Urafiki wake na Odinga hivihivi. Maana Odinga sasa ataonekana yupo huku na huku.
Kama hajampigia Kennyatta hadi Muda huu
Maana Magufuli anawaza tu kwamba hapo kuna uwezekano anatoa siri ya mafanikio ya maandamano yaliyoing'oa tume ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya.IEBC
Halafu kuna Mwaliko wa Kwenda Zambia keshokutwa
Yeye Magufuli Swaziland kusheherekea Mswati kupata Mke wa 15
kwani wewe pia utashikilia ukuta?Je nikikwambia hapo ndio walikua wakutanie utasemaje?
swissyouOdinga awezi kukaa na Magu walipishana maneno baada ya magu kumwambia kuwa Kagame ni rafiki yake.odinga sio mnafiki nafiki.
swissme