Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
Wanajulikana kwa kuwa wamekatwa mikia.Maadamu umemtaja lowassa subiri ng'ombe waje?
Naona kama wamekutana wakati kila mtu ameenda kivyake Karambezi kula ugali na si mkutano rasmi.Mh. Edward Lowassa Waziri mkuu mstaafu wa Tanzania alipokutana na Mh. Raila Odinga waziri mkuu mstaafu wa Jamuhuri ya watu wa Kenya mchana wa leo jijini Dar es salaam.
Ng'ombe mmojawapo tena wa kienyeji ni wewe, Umekuja.Maadamu umemtaja lowassa subiri ng'ombe waje?
Odinga awezi kukaa na Magu walipishana maneno baada ya magu kumwambia kuwa Kagame ni rafiki yake.odinga sio mnafiki nafiki.kwani huyu odinga mbona habanduki Tanzania kila wakati yuko huku leo yupo na lowassa juzi huypo na magufuli
nenda makapukuNg'ombe mmojawapo tena wa kienyeji ni wewe, Umekuja.
Hayo ni yako... Ccm imekuharibu sanaNaona kama wamekutana wakati kila mtu ameenda kivyake Karambezi kula ugali na si mkutano rasmi.
??????????nenda makapuku
swissme
Mkuu huoni kwamba wamekutana kwenye chakula kila mtu akisogelea kupakua msosi. Ingekuwa mkutano rasmi wangekaa mezani wakizungumza.Hayo ni yako... Ccm imekuharibu sana
Mh. Edward Lowassa Waziri mkuu mstaafu wa Tanzania alipokutana na Mh. Raila Odinga waziri mkuu mstaafu wa Jamuhuri ya watu wa Kenya mchana wa leo jijini Dar es salaam.
Kwani ana ndoto gani?Huyu anaonekana kama mediator(sijui nimepatia herufi)
yaani mtu wa kati anatoa message huku,anapeleka huku.
Ila mi saa ingine namhurumia sana huyu lowasa asee,
atatimiza kweli ndoto yake huyu?
Je nikikwambia hapo ndio walikua wakutanie utasemaje?Mkuu huoni kwamba wamekutana kwenye chakula kila mtu akisogelea kupakua msosi. Ingekuwa mkutano rasmi wangekaa mezani wakizungumza.
Ukuta inakuja usi panicNa bado hata aje Ban Ki Moon lkn, hakuna Maandamano wala Kampeni mpaka 2020, mkitaka Mikutano ni kwa wale waliochaguliwa tu tena majimboni mwao!
Huyo ndiyo Pombe Magufuli (PhD) chaguo la Mungu kwa WatanZania, Mungu anatupenda sana kutuletea raisi Magufuli!