Huo urafiki wa Lowasa na odinga ulianza lini? Nijuavyo Odinga urafiki wa magufuriOdinga awezi kukaa na Magu walipishana maneno baada ya magu kumwambia kuwa Kagame ni rafiki yake.odinga sio mnafiki nafiki.
swissme
Huo urafiki wa Lowasa na odinga ulianza lini? Nijuavyo Odinga urafiki wa magufuriOdinga awezi kukaa na Magu walipishana maneno baada ya magu kumwambia kuwa Kagame ni rafiki yake.odinga sio mnafiki nafiki.
swissme
sio kwamba wajukuu wanateseka baba yuko lokapu leo mwezi wa 5,Mzee wa chato atakuwa kamtuma raila kwA lowasa,ili ajaribu kuweka mambo Sawa.....
Kuna mambo yanamwendea kombooo
Ova
Nani Yuko Lock upsio kwamba wajukuu wanateseka baba yuko lokapu leo mwezi wa 5,
Umetumwa wewe si bureBulembo na Sofia simba watanyea ndoo muda sio mrefu ngosha sio mchezo wewe mke wa bulembo utakula vumbi
Anatafuta hela ya kampenikwani huyu odinga mbona habanduki Tanzania kila wakati yuko huku leo yupo na lowassa juzi huypo na magufuli
Nawe hauna Tofauti na "bitch"Wewe hauna tofauti na "TAEVE"
OVA
Tume imetangaza kujiuzuluSorry Ben naomba kujua hivi Yale maandamano ya Kenya ya kuikataa tume yalipekekea time kuvunjwa?
Du er sa dumNawe hauna Tofauti na "bitch"
Amekuja kumtaarifu mwenzake kuwa maandamano hayalipi!kwani huyu odinga mbona habanduki Tanzania kila wakati yuko huku leo yupo na lowassa juzi huypo na magufuli
Tafadhali acheni kumwingiza kwenye mauzauza yenu. Mchague wenyewe kwa nguvu za Lubuva na Polisi halafu mnamsingizia Mungu!!!!Na bado hata aje Ban Ki Moon lkn, hakuna Maandamano wala Kampeni mpaka 2020, mkitaka Mikutano ni kwa wale waliochaguliwa tu tena majimboni mwao!
Huyo ndiyo Pombe Magufuli (PhD) chaguo la Mungu kwa WatanZania, Mungu anatupenda sana kutuletea raisi Magufuli!
muonee huruma huyo JK wako angalia picha yake kwenye uzi was barbarosa huko Zambia alivyokongorokaHuyu anaonekana kama mediator(sijui nimepatia herufi)
yaani mtu wa kati anatoa message huku,anapeleka huku.
Ila mi saa ingine namhurumia sana huyu lowasa asee,
atatimiza kweli ndoto yake huyu?