Edward Lowassa akosoa uongozi wa Rais Magufuli

Edward Lowassa akosoa uongozi wa Rais Magufuli

lowasa..jpg
Hee Mukandala na yy mwiz nn cku hz!?
 
mngeanza na wa lushoto alafu wa msoga ndie mumfuate lowassa na pia kwa jinsi nnavyojua mlivyo wanafiki amtoweza maana kama chenge ni mwenyekiti wa bunge na mmeshindwa kumshtaki hao wengine mtaweza?
Tulia....kabla haja lowasika dawa imeshaanza kufanya kazi.
 
Amlalamikia Rais Magufuli kugawa fedha kwa shughuli mbalimbali wakati chombo chenye mamlaka kugawa fedha kipo ambacho ni bunge.(Pesa za uhuru na Pesa za Muungano)
Apo sijajua sheria inasemaje but what if kama asingezifuta izo sherehe bunge lingepanga nini?Kama aliweza tumia ela za sherehe za ufunguzi wa bunge kuja Muhimbili nadhani kuna kasheria kana mlinda

- Asikitishwa na uachishwaji wa kazi kwa wafanyakazi, asema hali ngumu ya uendeshaji wa mashirika hayo ndio usababisha utendaji hafifu.
Apo angesema specifically wapi waliachishwa kazi mfano kama NIDA pale ufanisi ulikuwa sifuri i ca honestly say mradi ulikuwa dili la watu.Watu wanaachishwa kazi with reasons kama sasa ATCL wako mbioni kupunguzwa huwezi kuwa na ndege 2 wafanyakazi 200 ivi kuna ufanisi apo au ni bora liende/fulani kaajiliwa

- Asononeshwa na hali ngumu ya maisha mtaani.
Ofcourse waliozoea vya kunyonga lazima waumie lakini kwa mtu ambaye alikuwa hanufaiki na mfumo hovyo uliopita ugumu wa maisha hata usikia.Imagine watu wa TRA/TPA waliopunguzwa hao hali zao na wapambe wao zitakuwa ngumu tuu.

- Asikitishwa na ushukaji wa huduma ya Bandari kushuka kwa asilimia 50 na kusababisha vijana wengi kusota mtaani.
Apa twaitaji support ya data maana kuna uzi umu ulionesha sivyo.All in all ni kheri kuhudumia meli 5 ambazo zinalipa kodi kuliko 100 ambazo ni magumashi.

- Kitendo cha wahisani kujitoa kuisaidia nchi asema n i pigo kubwa kwetu kwa mustakabali wa uchumi wa nchi.
MCC ndo imejitoa na sio US na leo EU wametoa tamko kuwa hawajasitisha misaada na kuna billions of money wamewapa mahakama.Izi ni tabia za Saddist tuu kugeneralise kuwa wahisani wamejitoa.TZ ni yetu wote unafaraije na kueneza propaganda kama izo jamani

- Asema si kweli kwamba uongozi wa Rais mstaafu Kikwete kila mtu alikuwa mla rushwa, ni kweli mfumo ule ulikuwa mbovu na wa kifisadi.
Zama za JK si wote wala rushwa ila wengi wao walikuwa wapigaji
 
- Amlalamikia Rais Magufuli kugawa fedha kwa shughuli mbalimbali wakati chombo chenye mamlaka kugawa fedha kipo ambacho ni bunge.(Pesa za uhuru na Pesa za Muungano)

- Asikitishwa na uachishwaji wa kazi kwa wafanyakazi, asema hali ngumu ya uendeshaji wa mashirika hayo ndio usababisha utendaji hafifu.

- Asononeshwa na hali ngumu ya maisha mtaani.

- Asikitishwa na ushukaji wa huduma ya Bandari kushuka kwa asilimia 50 na kusababisha vijana wengi kusota mtaani.

- Kitendo cha wahisani kujitoa kuisaidia nchi asema n i pigo kubwa kwetu kwa mustakabali wa uchumi wa nchi.

- Asema si kweli kwamba uongozi wa Rais mstaafu Kikwete kila mtu alikuwa mla rushwa, ni kweli mfumo ule ulikuwa mbovu na wa kifisadi.
Hivi luwasa anamkosoa Rais kwa nafasi yake ipi? kama ni mgombea urais uchaguzi ulikwisha na rais ameshaapishwa. Hiyo hali ngumu ya maisha mitaani yeye na rafiki yake ndio wahusika kwa ufisadi wao. Vipi uchungajt ng'ombe umemshinda?
 
Hapa inadhiirisha kuwa Lowassa angeshinda mambo ya mzee wa msoga yangebaki pale pale
 
Lowassa amejaliwa akili sana kitu kinachomtofautisha na wengine wengi....

Ni kweli Magufuli hana vision ndio maana ameanza kufifia!!!
Ah akili za wizi!!! Rais anawaka angalia mataifa mengine yanavyomzungumzia utendaji wake, fisadi anaongelewa.....
 
Ukisikia paaaaaaaaa!!!! ujue tayari jiwe lishamgonga mtu kichwani
 
Hivi luwasa anamkosoa Rais kwa nafasi yake ipi? kama ni mgombea urais uchaguzi ulikwisha na rais ameshaapishwa. Hiyo hali ngumu ya maisha mitaani yeye na rafiki yake ndio wahusika kwa ufisadi wao. Vipi uchungajt ng'ombe umemshinda?
Ha ha ha kageuka kuwa mwanaharakati sahzi.
 
EL mkwewe amenyimwa dhaamana......mirija yake kwenye mihimili yote mitatu ya dola imekatwa
 
Fedha za sherehe za kitaifa zimepitishwa Na Bunge hata matumizi yake lazima yabadilishwe Na Bunge
 
Ukisikia paaaaaaaaa!!!! ujue tayari jiwe lishamgonga mtu kichwani

I see! Kwa jinsi viroboto wa lumumba wanavyojikanyaga, naelewa Lowasa kagonga kunako.
Mwanakijiji upo? Njoo uwasaidie mbwa wenzio wa lumumba kubwekabweka.
 
Wewe na fisadi Lowasa wote ni vilaza, haujui kama raisi Kikatiba ndiyo mwenye uwezo wa kuamua siku gani iwe sikukuu na nipi isiwe? Kwa taarifa yako tu wacha kubadilisha matumzi ya fedha bali Raisi wa JMTZ ana uwezo wa kuzifuta kabisa hizo siku na zisiwepo na hii ni Kikatiba kabisa!
Na pia anaweza akaagiza Jumapili uende kazini....
 
Na pia anaweza akaagiza Jumapili uende kazini....

Ndiyo, Raisi anaweza kusema Jumapili siyo siku ya mapunziko bali ni Jumatano, hilo ana mamlaka nalo kabisa, mbona zamani tulikuwa tunaenda Shule na kufanya kazi Jumamosi na Mwinyi akajakuondoa??
 
Mbona serikali inaendeshwa kwa suprises\dramas kama maisha ya kim Kardashian ?
 
Ujue Lowasa mimi huwa namuona kama hajitambui vile sijui nani kamroga anaongea pumba tupu yani hajui hata pesa ipi inatakiwa kuidhinishwa na bunge na pesa gani ipo kwenye mamlaka ya Rais,mtu mzima hovyo kabisa.
Ni kweli hajielewi, Bunge halitoi pesa bali hupitisha bajeti na inayotoa fedha ni Hazina ( Wizara ya Fedha) kulingana na bajeti iliyoidhinishwa na bunge, ova!
 
Ndiyo, Raisi anaweza kusema Jumapili siyo siku ya mapunziko bali ni Jumatano, hilo ana mamlaka nalo kabisa, mbona zamani tulikuwa tunaenda Shule na kufanya kazi Jumamosi na Mwinyi akajakuondoa??
Na tena Mwinyi akaagiza sikukuu ikiangukia siku ya mapumziko ifidiwe siku ya kazi watukufu watanzania walale zao nyumbani na wapenzi wao, chezea cheo rais wewe!
 
Ni kweli hajielewi, Bunge halitoi pesa bali hupitisha bajeti na inayotoa fedha ni Hazina ( Wizara ya Fedha) kulingana na bajeti iliyoidhinishwa na bunge, ova!
Poor argument ever seen. Ukisema hivyo hakuna mtu anatoa pesa mfukoni. Hata hazina hupewa pesa kutoka BOT. hivyo ni argument isiyo na mashiko!
 
Back
Top Bottom