Edward Lowassa ahawakikishia 'Makamanda' ushindi mwaka 2018

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2012
Posts
13,185
Reaction score
24,055
Wakati akituma salamu za Krismasi na Mwaka Mpya 2018, aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa amewahakikishia ‘’Makamanda ’’ wategemee ushindi kwa mwaka ujao kwa sababu hiyo haina mjadala.

Ujumbe wangu kwenu wanaCHADEMA, mwaka 2018 utakuwa wa mafanikio makubwa na ninawahakikishia ushindi ni wetu na hilo halina mjadala’’ Lowassa alisema.

Amewataka wanaCHADEMA wazidishe umoja na mshikamano ili wafanikiwe katika mapambano.

VIDEO:
​
 
Kwa nini hajamtaja Tundu Lisu na kumtakia afya njema?
 
Wakati akituma salamu za Krismasi na Mwaka Mpya 2018, aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa amewahakikishia ‘’Makamanda ’’ wategemee ushindi kwa mwaka ujao kwa sababu hiyo haina mjadala.

Ujumbe wangu kwenu wanaCHADEMA, mwaka 2018 utakuwa wa mafanikio makubwa na ninawahakikishia ushindi ni wetu na hilo halina mjadala’’ Lowassa alisema.

Amewataka wanaCHADEMA wazidishe umoja na mshikamano ili wafanikiwe katika mapambano.

VIDEO:
​

Huyu Mzee bado mnaye? Hana msaada tena CHADEMA na UKIWA
 
bado kidogo sana atangaze vinginevyo, maana pamoja na `manunuzi' lakini anaonekana kutokuwa `comfortable' ukilinganisha na alipotoka.
wameshamsafisha, hana hatia tena mbele zao, anaweza kuamua vyovyote tu.
 
Mada kama hii haiwezi kuondoa uhalisia wahali mbaya ya kisiasa ilivyo kwa sasa nchini!!ccm ni failure tu bahati mbaya au nzuri kila mnapozidi kumnanga huyu mzee ndivyo mnazidi kuongeza hamasa kwa wananchi kuikataa ccm
 
Back
Top Bottom