MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
- Thread starter
- #21
Kwa nini ''kamanda'' anakuchafulia jukwaa?Huyu Mzee anatuchafulia jukwaa
Nielimishe zaidi!
Kwa nini ''kamanda'' anakuchafulia jukwaa?Huyu Mzee anatuchafulia jukwaa
CCM walimfanyia nini huyo mwanasheria wa chama?Hofu yangu ni CCM walijekumfanyia kama ya mwanasheria wa chama.
''Kamanda'' Lowassa anawataka wawe wamoja na washikamane kwa sababu ushindi ni wao mwaka kesho!Makamanda wengi wamekatishwa tamaa na sizonje, hata wakienda hawaambui kitu, mfano ni huu wa juzi kata 43🙁, ni nini kilitokea?:-/
WaulizeCCM walimfanyia nini huyo mwanasheria wa chama?
HahahahaYaani mpaka makamanda wanapata uwoga kuchagia mada, duh ha ha ha.
Sasa makamanda waanze kununua matambara na ndoo za kupigia deki barabara mwakani. Kazi kwao; Lowasa keshaunguruma. Duh.Wakati akituma salamu za Krismasi na Mwaka Mpya 2018, aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa amewahakikishia ‘’Makamanda ’’ wategemee ushindi kwa mwaka ujao kwa sababu hiyo haina mjadala.
Ujumbe wangu kwenu wanaCHADEMA, mwaka 2018 utakuwa wa mafanikio makubwa na ninawahakikishia ushindi ni wetu na hilo halina mjadala’’ Lowassa alisema.
Amewataka wanaCHADEMA wazidishe umoja na mshikamano ili wafanikiwe katika mapambano.
VIDEO:
Upo wa longido,songea,kinondoni nk ambako ukawa wamejitoa ni ushindi UPI wa uchaguzi UPI Lowasa anaongelea? Naona ukawa mnapongeza uchaguzi hewa2018 kuna uchaguzi wa nn kwani?
Wakati akituma salamu za Krismasi na Mwaka Mpya 2018, aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa amewahakikishia ‘’Makamanda ’’ wategemee ushindi kwa mwaka ujao kwa sababu hiyo haina mjadala.
Ujumbe wangu kwenu wanaCHADEMA, mwaka 2018 utakuwa wa mafanikio makubwa na ninawahakikishia ushindi ni wetu na hilo halina mjadala’’ Lowassa alisema.
Amewataka wanaCHADEMA wazidishe umoja na mshikamano ili wafanikiwe katika mapambano.
VIDEO:
Mbowe anakuambia ujio wa Rais Magufuli ni fursa kwa CHADEMA!Huyu ndye aliyezika chadema....yupo kwa kazi maalum,kwakuwa mbowe ameshalamba zake anajifanya haoni.chadema imekuwa mfu...chadema imefika hatua inakimbia midahalo?aibu sna
Jibu lako litakuwa sahihi kama utagundua nani ndiye mwenye CHADEMA kwa sasa.sasa tujue ushindi huu watashiriki uchaguzi au ndio chama kimegraduet!