kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,447
Hivyo nae ni zitto wa pili,sasa kuna huyu alienunua 25% hisa zilizokua za wanachama ,nyalandu nae pia ni kiongozi!Jibu lako litakuwa sahihi kama utagundua nani ndiye mwenye CHADEMA kwa sasa.
Kupata picha sahihi angalia kwenye vikao vya CHADEMA taifa utangudua kuwa pamoja na Lowassa kuwa mjumbe wa kamati Kuu kama wajumbe wengine lakini yeye hukaa kwenye meza kuu kama viongozi wakuu wa CHADEMA Taifa.
Kazi ya kumpokea Lowassa na kumuaga kwenye vikao na mikutano hufanywa na Mwenyekiti wa chama Taifa wakati katiba ya CHADEMA inasema Mwenyekiti wa chama taifa ndiye kiongozi mkuu pekee wa chama.