Edward Lowassa ahawakikishia 'Makamanda' ushindi mwaka 2018

Edward Lowassa ahawakikishia 'Makamanda' ushindi mwaka 2018

huu ushindi utakujaje wakati tumesusa au ndo sawa na miujiza ya maria kumzaa yesu bila kuwa na mwanaume
 
Hi
Tunaambiwa amewaletea CHADEMA/UKIWA wabunge zaidi ya 110! Huu ni msaada ambao haujapata kutokea nchini!
Hilo lilitokana na kura za chuki jambo ambalo haliwezi kutokea tena. 2020 chadema hawapati hata wabunge 10.
 
Nimekupa gari na mshahara mnono, olee wako kwenye uchaguzi umtangaze mpinzani kashinda"nimenukuu"
Aisee.., ni bora waususie kabisa, haina maana kushuriki uchaguzi wa kuwazugia wazungu ilihali humu ndani hapafai namna hii.! Tundu lissu walishawahi kusema ni bora tukasusiwa na mataifa kwa utawala wa awamu hii, kumbe alikua sahihi.!🙂)
 
Ushindi 2018? Makamanda ukiwaambia huyu mzee akili haziko sawa wanaleta matusi. Ok! ngoja tuone huo ushindi.
 
''Kamanda'' Lowassa anawataka wawe wamoja na washikamane kwa sababu ushindi ni wao mwaka kesho!
Wawe wamoja tena!? Sizonje hapendi na hataki muungano wowote ule, ndio maana hataki kabisa kuwe na kikundi au chama kinachomzodoa8)
 
Kaitwa Mara mbili police ukapoa kama Maji ya kwenye mtungi. Chezea JPM weeeee..m
 
Ushindi 2018? Makamanda ukiwaambia huyu mzee akili haziko sawa wanaleta matusi. Ok! ngoja tuone huo ushindi.
LABDA USHINDI WA KUDEKI BARABARA, KUPANDA DALADALA NA KUONJA UJI WA MAMA NTILIE
 
Lowassa anajitangazia ushindi kwa kufanikiwa kukizika CHADEMA rasmi mwaka 2018.
 
Back
Top Bottom