Educational sponsor needed

Educational sponsor needed

Pusha T

Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
64
Reaction score
22
PLEASE JAMAN NAOMBA KAMA HUNA CHA KUCOMENT UPITE KIMYA KIMYA MAANA HATEFUL COMMENTS ZITANIUMIZA.
Wadau wa jf mimi ni kijana nnae malizia masomo yangu ya diploma miezi miwili ijayo, ninapenda kuchukua fursa hii kuwaomba msaada wa kifedha au wa temporary work au different ideas ambayo itaweza kunisaidia kupata angalau baadhi ya gharama ili niweze kuendelea na masomo
.
Kwa kipindi hiki nimekuwa nikisoma kwa Kudra maana ni mchango wa ndugu yangu ambaye ningependa nimpunguzie majukumuu.
.
Ki ukweli hata hii post nashindwa kuielezea vizur wadau ila kama hauna cha kucoment pls nakuomba upite bila ya kuweka *Hate comments * maana ntazidi kuumia
 
Mwanaume lazima apokee challenge zote mbaya na mzuri , zinazokela na kufurahisha, zinazofikirisha na kudumaza ukiwa mwanaume ni bora kuopeni milango ya fikira yote ili uweze kuchuja lipi jema na baya , lipi linafaa sasa au baadaye .

Ila kama ni mwanamke nisiongee, ndo maana watu wengine hupenda kuuliza we jinsia gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom