Edson Mabere vs Tibway360

Edson Mabere vs Tibway360

UDSM Alumni

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2015
Posts
2,555
Reaction score
1,389
Nani mkali kati yao? Naomba mchango wako mdau. Mimi namuona Tbway360..

mabere.jpg 529867_285127931614257_1420272123_n.jpg
E.Mabere-WallPaper(StarTV) .. TBway360 - 5 Selekt (EATV)
 
hahhaha sawa na kumlinganisha best naso na chris brown!!!! huyo mabele bado sana, inshort angekua anatangaza taarifa ya habari tu vipindi vya swagg havimfai
 
Haaa haaaa haaaa hii jf edson mabere wallppe wallpaper startv bado sana
 
Wote vichwa box tu
Huyu wa star tv nikama anaumwa kifadulo na huyu mrefu wa eatv nikama shoga flani hivi..
Siwapendi kinoma, watoto wakiume wanaongea kama wako chumvini bwana..
 
Wewe! Mmesemaje? Tbway mnamelew vizuri nyie aliesem anaongea kam shoga ajipange tena ye nf ndo shoga! Tbway anajua wew angalia five select utamwwlw vizur buy mwngn cjui mmemwek wa nini, nakuelew san360 na juz miss cbe ulitish San best presenter wew
 
umeandika nini hapa
 
Huyo Aurus Mabele simjui, TBway namjua but naye kwangu mimi siwezi nikakaa nikimsikiliza zaid ya dakika 5 bila kubadilisha channel coz kaumri kangu kamesogea kidogo, sema kwa watu wa rika la miaka 13 hadi 22 hivi viswaga vyake vya kitotototo vinawafaa
 
Back
Top Bottom