Edson Mabere vs Tibway360

Edson Mabere vs Tibway360

Kuna yule jamaa anayetangaza top 10 za star tv, eeh bwana yuko vizuri.
 
hahhaha sawa na kumlinganisha best naso na chris brown!!!! huyo mabele bado sana, inshort angekua anatangaza taarifa ya habari tu vipindi vya swagg havimfai

hahahaaaa! umenikumbusha kuna siku nilimbahatisha kwa bahati mbaya star tv yaani nilichoka mwili na roho, yaani ni mshamba hatari alafu anajifanya mjanja, yaani hapo ni kumdhalilisha t-bway kwakweli
 
Daah t bway najua watuu wana mwelewa kwa swaga zake
Ila dogo anaonekana ana copy swagaz tuu..
Ilaa akitafuta swaga zake yeye kama yeye atakua mtam ka mcharo
 
Naanzaje kuwaangali ao kwanza??????




Mwendo wa news kaumri nako
 
Hahahaaa, hua huangalii star tv eeh? Mshamba hatariii.

Japo huyo mabere simjui ila nilihisi tu atakuwa mshamba maana kiasili wasukuma/watu wa mwanza ni washamba, huwezi kulinganisha na mtoto aliyekulia Dar
 
Japo huyo mabere simjui ila nilihisi tu atakuwa mshamba maana kiasili wasukuma/watu wa mwanza ni washamba, huwezi kulinganisha na mtoto aliyekulia Dar

Hahahaaa, jamaa ana swaga za kishamba hatariiiii.
 
Teh Teh huyu Mabele ni kituko kabisa
 
Back
Top Bottom