Edo Kumwembe amjibu Ole Thadei Mushi

Edo Kumwembe amjibu Ole Thadei Mushi

Edo na Thadeo nawaona kama wapuuzi hakuna mwenye maono chanya .... Uyo Thadeo nimwalimu wa primary anafundisha stad za kazi..sasa siasa anazijuaje za upinzani
MTU mweny Elimu yakuunga unga

Ukimwangalia Edo nimsakatonge anadhani sisi Wnaharakti tunasoma ujinga wao.
Kajifunze kuandika ndio urudi tena, mpuuzi mkubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upinzani upo kwa wanaowachagua hao wanaonunuliwa kwa bei chee,hivyo wangetaka kuua upinzani wangekuwa wanawanunua wapiga kura kwa njia ya kuwapelekea huduma za kijamii zilizo bora,na kuwasikiliza kwa yale wanayoyataka. Sasa kichekesho ni kwamba huduma za kijamii kwa wapigakura hazipo na badala ya kutumia hela zinazotumika kununua wapinzani kuboreshea huduma za kijamii kila kukicha ni manunuzi ya binadamu
 
Edo na Thadeo nawaona kama wapuuzi hakuna mwenye maono chanya .... Uyo Thadeo nimwalimu wa primary anafundisha stad za kazi..sasa siasa anazijuaje za up in
MTU mweny Elimu yakuunga unga

Ukimwangalia Edo nimsakatonge anadhani sisi Wnaharakti tunasoma ujinga wao.
na wewe unaejadili watu badala ya hoja iliyopo mezani, tukuweke kwenye kundi gani?.
 
Edo na Thadeo nawaona kama wapuuzi hakuna mwenye maono chanya .... Uyo Thadeo nimwalimu wa primary anafundisha stad za kazi..sasa siasa anazijuaje za upinzani
MTU mweny Elimu yakuunga unga

Ukimwangalia Edo nimsakatonge anadhani sisi Wnaharakti tunasoma ujinga wao.
Na wewe unaejadili watu badala ya hoja iliyopo mezani tukuweke kwenye kundi gani?.
 
Huyo eddo anadhani upinzani wa simba na yanga. Upinzani wa kisiasa ni wanasiasa. Wao ndio wana majukwaa ya kuongea wakasikika. We mwingine ukifanya hivyo inakuwa vurugu. Labda kama mnapinzana kwenye yanga na simba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Upinzani wa simba na yanga ni rahisi saaana kuua kuliko upinzani wa kisiasa.Ikitokea ukanunua wachezaji na mdhamini wa timu basi hiyo timu inakuwa hisitoria.
Wakoloni hata wangefanikiwa kumnunua NYERERE lkn wasingefanikiwa kuua upinzani, na Uhuru lazima ungepatikana.
 
Huyo ' Ole ' hapa alikengeuka tu ...ila huwa namueleWa.
 
Lakini Eddo wala hajaongea uongo jamani upinzani sio mtu wala chama..upinzani hisia hata ndani ya CCM kuna wapinzani pia ambao hawakubaliani na hali inavyoenda,,hata Mh Rais ni mpinzani pia ndo maana hakubaliani na wanaomkosoa,Pole Pole nae ni mpinzani pia maana hakubaliani na mawazo ya wapinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ikiwa kweli ni mpango atakaokuwa umesukwa na ccm kwa kile ambacho mbatia aliitiwa ikulu! hata hivyo tumekuwa tukisema sana kuwa mbatia sio mtu wa kuaminika! Ni mtu wa fursa kama zitto
 
Huyu nae anaeitwa Edo Kumwembe mbona kajibu pumba hivi? Upinzani unaozungumziwa hapa ni upinzani kuhusiana na Vyama. Yaani vyama vya upinzani ambavyo vikuwa na nia ya kushika dola pale ambapo chama tawala kitashindwa kutekeleza ilani yake ya uchaguzi. Ndio hivi ambavyo vinaenda kufa. Hisia za kupinga jambo fulani sio ishu hapa. Maana hata kama mna chama kimoja lazima kutakuwa na kupingana juu ya masuala kadhaa. Lakini mfano Ccm itekeleze ilani yake kama inavyofanya sasa,alafu hisia za mtu zinamtuma kupinga huwezi sema huo ni upinzani. Bali ni upingaji maendeleo.
Wewe ndo umeandika ugolo kama si pumba
 
Kuna Kikao kinaendelea mahali, Kuna uwezekano wabunge Sita toka Chadema wakahamia NCCR Mageuzi kwa pamoja siku za karibu.

Tusubiri tuone.

Ni wazi kuwa Upinzani unajimaliza wenyewe kwa sasa.

Ole Mushi
0712702602.

.........................................
Edo Kumwembe

Upinzani sio chama, sio Mbowe, sio Chadema...ni hisia za watu...upinzani hauwezi kufa, Chadema, Cuf, NCCR, CCM, TLP vinaweza kufa lakini upinzani hauwezi kufa...ni hisia tu za mwanadamu kutokubali mambo yanavyokwenda. Hata CCM wakiwa wapinzani hawatakubali mambo yanavyoendeshwa na wengine...ni hisia za kupinga, sio kuwa na kadi ya chama flani mkononi...hata Rais, kwa mambo anayoongea sasa au kuyafanya sasa ni wazi alikuwa hapendi au ana upinzani na mambo yaliyokuwa yanafanyika wakati yeye akiwa sio madarakani... Upinzani ni hisia.

View attachment 1406999

Sent using Jamii Forums mobile app
Wala sio hisia. Upinzani ni itikadi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujaelewa jombaa.kaa kimya waache waliolrwa wajadili . Endelea kusifia machizi wanaolala juu ya mawe.utuache
Huyo eddo anadhani upinzani wa simba na yanga. Upinzani wa kisiasa ni wanasiasa. Wao ndio wana majukwaa ya kuongea wakasikika. We mwingine ukifanya hivyo inakuwa vurugu. Labda kama mnapinzana kwenye yanga na simba.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajidanganya ukifikiria kwamba ili uwe mchambuzi wa siasa lazima uwe uwe musoma siasa. Bashiru yule pale unaona Ujinga anaoongea. Nashindwa hata kueleza ujinga anaongeaga bashiru
Edo na Thadeo nawaona kama wapuuzi hakuna mwenye maono chanya .... Uyo Thadeo nimwalimu wa primary anafundisha stad za kazi..sasa siasa anazijuaje za upinzani
MTU mweny Elimu yakuunga unga

Ukimwangalia Edo nimsakatonge anadhani sisi Wnaharakti tunasoma ujinga wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom