Edo Kumwembe amjibu Ole Thadei Mushi

Edo Kumwembe amjibu Ole Thadei Mushi

Bado tu unaamini wapinzani wananunuliwa bwasheee? Unatumia haki yako ya utaahira vibaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Tahira ni wewe unae ona watu wote nimataahira kama wewe. Watu wanaakili timamu.badilisheni mfumo hiki Kazazi hamwezi kukuendesha kwa mfumo huo wa propaganda zakizamani .ndo maana mashabiki wenu niwazee namaskini wavijijini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Edo na Thadeo nawaona kama wapuuzi hakuna mwenye maono chanya .... Uyo Thadeo nimwalimu wa primary anafundisha stad za kazi..sasa siasa anazijuaje za upinzani
MTU mweny Elimu yakuunga unga

Ukimwangalia Edo nimsakatonge anadhani sisi Wnaharakti tunasoma ujinga wao.
Kweli wewe ni Mshumaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nkajua kuna Maelfu ya wapiga kura yanaondoka kumbe ni vibunge 6
 
Kwani Thadei Mushi kasema upinzani unakwisha au katoa tu habari ya tetesi kuhusu hao wabunge wa Chadema? Yaani makamanda kitu kidogo tu tayari presha inapanda.
 
Kuna Kikao kinaendelea mahali, Kuna uwezekano wabunge Sita toka Chadema wakahamia NCCR Mageuzi kwa pamoja siku za karibu.

Tusubiri tuone.

Ni wazi kuwa Upinzani unajimaliza wenyewe kwa sasa.

Ole Mushi
0712702602.

.........................................
Edo Kumwembe

Upinzani sio chama, sio Mbowe, sio Chadema...ni hisia za watu...upinzani hauwezi kufa, Chadema, Cuf, NCCR, CCM, TLP vinaweza kufa lakini upinzani hauwezi kufa...ni hisia tu za mwanadamu kutokubali mambo yanavyokwenda. Hata CCM wakiwa wapinzani hawatakubali mambo yanavyoendeshwa na wengine...ni hisia za kupinga, sio kuwa na kadi ya chama flani mkononi...hata Rais, kwa mambo anayoongea sasa au kuyafanya sasa ni wazi alikuwa hapendi au ana upinzani na mambo yaliyokuwa yanafanyika wakati yeye akiwa sio madarakani... Upinzani ni hisia.

View attachment 1406999

Sent using Jamii Forums mobile app
hapa kwa kusoma uandishi wa kila mmoja unaweza ku judge kuwa Edo ni professor fulani hivi while huyo Mushi ni chinga, tena wa kule Charambe Nzasa!
 
Jifunzeni kufanya rejea ya mazungumzo kabla hamjachangia.

Unaelewa tulikoanzia?
Ningekuwa sijui mwanzo wa mjadala nisingechangia! Usikimbie hoja ya kiwango Cha elimu uliyoianzisha! Narudia weka kiwango Cha elimu yako hapa kabla ya kuhoji vya wengine! Ni busara tu na sio matusi!
 
Ningekuwa sijui mwanzo wa mjadala nisingechangia! Usikimbie hoja ya kiwango Cha elimu uliyoianzisha! Narudia weka kiwango Cha elimu yako hapa kabla ya kuhoji vya wengine! Ni busara tu na sio matusi!

Wewe naye ni wale wale tu, kama hukuelewa omba ueleweshwe.
 
Kuna Kikao kinaendelea mahali, Kuna uwezekano wabunge Sita toka Chadema wakahamia NCCR Mageuzi kwa pamoja siku za karibu.

Tusubiri tuone.

Ni wazi kuwa Upinzani unajimaliza wenyewe kwa sasa.

Ole Mushi
0712702602.

IMG_20200402_212410.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maana halisi ya hujuma ndio Kama hiyo inayofanywa na hao wanaohamia CCM. Asante Edo wewe ni akili kubwa.
 
Kuna Kikao kinaendelea mahali, Kuna uwezekano wabunge Sita toka Chadema wakahamia NCCR Mageuzi kwa pamoja siku za karibu.

Tusubiri tuone.

Ni wazi kuwa Upinzani unajimaliza wenyewe kwa sasa.

Ole Mushi
0712702602.

View attachment 1407181

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu nae anaeitwa Edo Kumwembe mbona kajibu pumba hivi? Upinzani unaozungumziwa hapa ni upinzani kuhusiana na Vyama. Yaani vyama vya upinzani ambavyo vikuwa na nia ya kushika dola pale ambapo chama tawala kitashindwa kutekeleza ilani yake ya uchaguzi. Ndio hivi ambavyo vinaenda kufa. Hisia za kupinga jambo fulani sio ishu hapa. Maana hata kama mna chama kimoja lazima kutakuwa na kupingana juu ya masuala kadhaa. Lakini mfano Ccm itekeleze ilani yake kama inavyofanya sasa,alafu hisia za mtu zinamtuma kupinga huwezi sema huo ni upinzani. Bali ni upingaji maendeleo.
 
Yaaaaaaani wewe unaita nondo ya mwenzio pumba wakati ulicho andika ni makapi kabisaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom