Edo Kumwembe amjibu Ole Thadei Mushi

Edo Kumwembe amjibu Ole Thadei Mushi

Tee Bag

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
7,220
Reaction score
5,626
Kuna Kikao kinaendelea mahali, Kuna uwezekano wabunge Sita toka Chadema wakahamia NCCR Mageuzi kwa pamoja siku za karibu.

Tusubiri tuone.

Ni wazi kuwa Upinzani unajimaliza wenyewe kwa sasa.

Ole Mushi
0712702602.

.........................................
Edo Kumwembe

Upinzani sio chama, sio Mbowe, sio Chadema...ni hisia za watu...upinzani hauwezi kufa, Chadema, Cuf, NCCR, CCM, TLP vinaweza kufa lakini upinzani hauwezi kufa...ni hisia tu za mwanadamu kutokubali mambo yanavyokwenda. Hata CCM wakiwa wapinzani hawatakubali mambo yanavyoendeshwa na wengine...ni hisia za kupinga, sio kuwa na kadi ya chama flani mkononi...hata Rais, kwa mambo anayoongea sasa au kuyafanya sasa ni wazi alikuwa hapendi au ana upinzani na mambo yaliyokuwa yanafanyika wakati yeye akiwa sio madarakani... Upinzani ni hisia.

IMG_20200402_212410.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waache tu wabunge sita kuhamia NCCR, hata cdm ikifutwa na wote wakahamia NCCR, tuna uwezo wa kujua upi ni upinzani wa kweli na yupi ni mpinzani wa kweli. Watashangaa hao viongozi kuhamia NCCR lakini hakuna mtu anavutiwa nao. Uzuri wananchi walishaamka hivyo wanajua wanataka nini.
 
Huyo eddo anadhani upinzani wa simba na yanga. Upinzani wa kisiasa ni wanasiasa. Wao ndio wana majukwaa ya kuongea wakasikika. We mwingine ukifanya hivyo inakuwa vurugu. Labda kama mnapinzana kwenye yanga na simba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Kikao kinaendelea mahali, Kuna uwezekano wabunge Sita toka Chadema wakahamia NCCR Mageuzi kwa pamoja siku za karibu.

Tusubiri tuone.

Ni wazi kuwa Upinzani unajimaliza wenyewe kwa sasa.

Ole Mushi
0712702602.

.........................................
Edo Kumwembe

Upinzani sio chama, sio Mbowe, sio Chadema...ni hisia za watu...upinzani hauwezi kufa, Chadema, Cuf, NCCR, CCM, TLP vinaweza kufa lakini upinzani hauwezi kufa...ni hisia tu za mwanadamu kutokubali mambo yanavyokwenda. Hata CCM wakiwa wapinzani hawatakubali mambo yanavyoendeshwa na wengine...ni hisia za kupinga, sio kuwa na kadi ya chama flani mkononi...hata Rais, kwa mambo anayoongea sasa au kuyafanya sasa ni wazi alikuwa hapendi au ana upinzani na mambo yaliyokuwa yanafanyika wakati yeye akiwa sio madarakani... Upinzani ni hisia.

View attachment 1406999

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh Edo Kumbwembe najua huyu ni mtu wa mpira haswaa na mzee wa kubet leo ameibukia kwenye arena yetu ya kuchapana na kukwaruana? Karibu sana bwashee ila tahadhari tu huku hakuna Sheria wala kanuni!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kununua wabunge wa Chadema halafu mnajidanganya Chadema inakufa ni ushamba, badala mjipange vizuri muwanunue wapiga kura wanaowaweka madarakani hao wabunge, mnachezea tu pesa za walipakodi halafu mnawadanganya wajinga serikali inayowajali masikini!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Edo na Thadeo nawaona kama wapuuzi hakuna mwenye maono chanya .... Uyo Thadeo nimwalimu wa primary anafundisha stad za kazi..sasa siasa anazijuaje za upinzani
MTU mweny Elimu yakuunga unga

Ukimwangalia Edo nimsakatonge anadhani sisi Wnaharakti tunasoma ujinga wao.

Hahaha, kina Msukuma, Kibajaji na Mlinga ndo wanasiasa wenu nguli.
 
Uyo nimtoto na muasisi wa hili Taiga letu la Asali na maziwe ujui kuwa mzee mbowe ametoa pesa zake nyingi hill Uhuru wa Tanganyika upatikane.

Kuhusu Elimu yake inajulikana wala sihitaji kuweka CV yake hapa .

Hujajibu swali, umesema Thadeo ni mwalimu wa stad za kazi, Edo hajasoma na hajui siasa.

Nakuuliza, mwenyekiti wenu ana elimu gani?
 
Back
Top Bottom