Edo Kumwembe amjibu Ole Thadei Mushi

Edo Kumwembe amjibu Ole Thadei Mushi

Unajidanganya ukifikiria kwamba ili uwe mchambuzi wa siasa lazima uwe uwe musoma siasa. Bashiru yule pale unaona Ujinga anaoongea. Nashindwa hata kueleza ujinga anaongeaga bashiru
Edo na Thadeo nawaona kama wapuuzi hakuna mwenye maono chanya .... Uyo Thadeo nimwalimu wa primary anafundisha stad za kazi..sasa siasa anazijuaje za upinzani
MTU mweny Elimu yakuunga unga

Ukimwangalia Edo nimsakatonge anadhani sisi Wnaharakti tunasoma ujinga wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waache tu wabunge sita kuhamia NCCR, hata cdm ikifutwa na wote wakahamia NCCR, tuna uwezo wa kujua upi ni upinzani wa kweli na yupi ni mpinzani wa kweli. Watashangaa hao viongozi kuhamia NCCR lakini hakuna mtu anavutiwa nao. Uzuri wananchi walishaamka hivyo wanajua wanataka nini.

Najua hata wewe badae utahamia huko NCCR, Ni suala la muda tu uataanza kuwashangilia,
 
Tahira ni wewe unae ona watu wote nimataahira kama wewe. Watu wanaakili timamu.badilisheni mfumo hiki Kazazi hamwezi kukuendesha kwa mfumo huo wa propaganda zakizamani .ndo maana mashabiki wenu niwazee namaskini wavijijini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo na Sumaye, Lowasa nao wamenunuliwa na CCM? Huo ndio ujuha wenu ninyi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaharakati wa Jf
Edo na Thadeo nawaona kama wapuuzi hakuna mwenye maono chanya .... Uyo Thadeo nimwalimu wa primary anafundisha stad za kazi..sasa siasa anazijuaje za upinzani
MTU mweny Elimu yakuunga unga

Ukimwangalia Edo nimsakatonge anadhani sisi Wnaharakti tunasoma ujinga wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Edo na Thadeo nawaona kama wapuuzi hakuna mwenye maono chanya .... Uyo Thadeo nimwalimu wa primary anafundisha stad za kazi..sasa siasa anazijuaje za upinzani
MTU mweny Elimu yakuunga unga

Ukimwangalia Edo nimsakatonge anadhani sisi Wnaharakti tunasoma ujinga wao.

Kuelimika sio kuwa na vyeti. Elimu ya kuunga ni elimu kama elimu nyingine ndio maana kawa na sifa ya kuwa mwalimu.

Sasa wewe mwenzangu na mimi mwenye elimu ya kutokuunga, je ni wapi ulipowahi toa maoni au mawazo yako yenye kufikirisha kama huyu mwenye elimu ya kuungaunga?
 
Edo na Thadeo nawaona kama wapuuzi hakuna mwenye maono chanya .... Uyo Thadeo nimwalimu wa primary anafundisha stad za kazi..sasa siasa anazijuaje za upinzani
MTU mweny Elimu yakuunga unga

Ukimwangalia Edo nimsakatonge anadhani sisi Wnaharakti tunasoma ujinga wao.
Mwenzio ana elimu ya kuunga unga, na sasa ni mwalimu.

Wewe elimu yako ya ngumbaro unanya kazi gani??

Mi nakujua, kazi yako ni kutapisha vyoo hapo tandale, basi mheshimu mwalimu wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbunge anakuwa mwakilishi wa hisia za watu.akikengeuka hisia za walio mtuma na yeye anakuwa anakuwa mpinzani wao.hisia hazinunuliwa.kumbadili mbunge au diwani hisia zake haimaanishi umebadilisha hisia za wapiga kura.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upinzani hauwezi kuisha hatakama kitabaki chama kimoja..ndani ya chama hichohicho watatokea wapinzani..ndugu yangu membe sijui yuko wapi.

Yuko hapo hapo ulipo wewe......

Hoja yako na yake kimsingi haina ukinzani wowote wa kimantiki...

Rudia tena kumsoma mwenzio na kisha urudi na kujisoma na wewe, utanielewa!!
 
Back
Top Bottom