Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,544
- 18,089
Wananiuzi katika huu mdaharo wanatumia lugha kiingereza.
Ndio ujiulize ni nani mtetezi wa Mtanzania Maskini?
Na hilo linafanyika ndani ya Mwanza, ambapo watu wanaoelewa Kiingereza hata asilimia 5% hawafiki, sasa nani mlengwa?
Na wanajadili mambo muhimu kabisa yanayomuhusu Mwananchi wa kawaida kabisa anayeishi kwenye migodi, lkn hao wanaoitwa watetezi wa wanyonge wanatumia Lugha ambayo huyo Mnyonge wanaomtetea hawezi kuielewa, hapo sasa! Safari bado ndefu!