Muongo kakimbia? udhaifu mkubwa huu Prof anakimbia?
usisahau kuturushia picha mkuu na tupe dondoo za hadhira wana mtazamo gani hapo!
Sahihisho: Mr. Magambo si mwanafunzi hivi sasa ni Mhadhiri Msaidizi: alisoma shahada ya BA Econ. SAUT (2009) na akaenda UDSM kwa MA in Economics (2012), na sasa ni Assistant Lecturer SAUT. A very smart guy!Anaongea Mr Magambo ambaye alikuwa mwanafunzi wa uchumi UDSM, sasa anasoma SAUT. Anasema miaka ya 1960s rasilimali zilifanywa kama njia mojawapo za kujikwamua kutoka katika umasikini. Anadai mwaka 2010 kilimo kilichangia 28.4% ya GDP.
Sahihisho: Mr. Magambo si mwanafunzi hivi sasa ni Mhadhiri Msaidizi: alisoma shahada ya BA Econ. SAUT (2009) na akaenda UDSM kwa MA in Economics (2012), na sasa ni Assistant Lecturer SAUT. A very smart guy!
Sasa profesa mzima anapoamua kuwakimbia wanazuoni wenzake anakuwa anatuma ujumbe gani kwa wqnanchi??
Hatahivyo sishangazwi kwa Prof. Muhongo kukimbia midahalo kwakuwa ndio sera yao huko ccm. Na juu ya yote prof. Muhongo ni muongo kwahiyo ameogopa kuumbuliwa mchana kweupe.