Economic Forum at SAUT: Prof. Muhongo, Lissu ndani (March 16, 2013)

Economic Forum at SAUT: Prof. Muhongo, Lissu ndani (March 16, 2013)

Tundu Lisu ni kichwa lazima Magamba yamkwepe Ndugai alitaka kurusha ngumi kama asingekuwa Masako mambo tayari yaliharibika, Muhongo kapaona hapo
 
Ni kweli mkuu TBC wangerusha live hii maneno,lkn ndio hivyo tena wako busy kuaminisha Umma kilichofanywa na chama.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Hiki kituo kimegeuzwa cha chama badala ya kuwa cha watanzania wote
 
Sasa profesa mzima anapoamua kuwakimbia wanazuoni wenzake anakuwa anatuma ujumbe gani kwa wqnanchi??
Hatahivyo sishangazwi kwa Prof. Muhongo kukimbia midahalo kwakuwa ndio sera yao huko ccm. Na juu ya yote prof. Muhongo ni muongo kwahiyo ameogopa kuumbuliwa mchana kweupe.

kwa stail. hii 2015 kuna mdahalo kweli?
 
Siku hizi Watanzania wajanja wakiona tv imeegemea sehemu moja baaasi hata kuiangalia haiangaliwia,nina utafiti wa baadhi ya mikoa ukiwagusia habari ya TBC ni sawa na kutafuta shari

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Anadai wasomi ni tunzo ila serikali haiwatumii, raisi kapewa mamlaka ya kuteua wasaidizi wake lakini haitumii ipasavyo. Anateua watu wabovu, kwanini asiteue kina Magufuli na Mwakyembe hata watano tu?. Anasema yeye atasimamia ukweli hata wakimuua kama Mwangosi ni sawa kwani tayari ameishakufa.
 
Lete lete manenoo!!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Chama kinachotawala ndio kinatuletea viongozi, na hao viongozi ndio watunga sera. Hawa ndio wanaopanga rasilimali zitumike vipi.
 
Tundu Lissu ameanza kuzungumza, anatumia lugha ya kiingereza. "MINING, OIL AND GAS AS THE SECOND SCRAMBLE OF AFRICA CONTINENT".
 
The 1st scramble of Africa took place from Nov 1884-febr1885, anadai wazungu hawa walipokutana Berlin dhumuni lao si kwamba walikuja kuhubiri dini au kuleta ustaarabu, bali waligawana Afrika ili waweze kuchota rasilimali zetu. Walitunga sheria 'decree' amri ya kifalme na ku-declare kwamba rasilimali zote zilizokuwa za wenyeji zilitangazwa kuwa mali za mfalme.
 
Kumbe yupo SAUT hiyu prof, kanifundisha pale SUA.

Hata mimi mkuu...
Na nakumbuka alivyomuumbua Sumaye wakati fulani, then akamdhalilisha Mkapa baade, kabla ya kumsasambua Pinda mwaka juzi kwenye mihadhara ya Sokoine pale SUA...
 
Tundu Lissu ameanza kuzungumza, anatumia lugha ya kiingereza. "MINING, OIL AND GAS AS THE SECOND SCRAMBLE OF AFRICA CONTINENT".

Ndio wale wale tu, kama Raisi Kikwete, Raisi Kibaki anaongea Kiswahili nchini mwetu yeye anaongea kwa Kiingereza ndani ya Tanzania, sasa hapo mlengwa hivi ni nani ? ni hao ma elite tu? Wana Singida waliomchagua hawana haki ya kumuelewa? Kazi ipo kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo CHADEMA wanavyozidi kufanana na CCM!
 
Siku hizi Watanzania wajanja wakiona tv imeegemea sehemu moja baaasi hata kuiangalia haiangaliwia,nina utafiti wa baadhi ya mikoa ukiwagusia habari ya TBC ni sawa na kutafuta shari

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Mkuu ni ukweli ni sehemu Chache sana ambapo unaweza kuta watu wakitazama taarifa ya habari kupia TBC
 
Mods wanakera sana, wameondoa thread yangu sijui wameipeleka wapi. Namimi nasitisha kuwaletea LIVE hili kongamano. Nawatakieni mchana mwema, ngoja mimi niendelee kupata nondo.
 
Wananiuzi katika huu mdaharo wanatumia lugha kiingereza.
 
Naona kiti cha mzee SOSPETER MUHOGO kiko wazi, sijui anatinga muda gani??
 
Back
Top Bottom