Afcon kinanuka
JF-Expert Member
- Apr 5, 2026
- 801
- 2,121
Huyo hana degree2.Una degree 2?.
Umesomea nn na nini?.
Una miaka mingap?.
Uko wap?.
Huyo hana degree2.Una degree 2?.
Umesomea nn na nini?.
Una miaka mingap?.
Uko wap?.
Acha tu classmates wa primary wanashusha contena za kutosha na wanapost status😨Uko sahihi mkuu, unaweza ukawa na Elimu na usitoboe maisha, kuliona Jicho la tatu kwenye biashara duu, kama muda mwingi ulikuwa shule na biashara umeiaza ukubwani ukiwa na majukumu, una familia, una madeni, stress za wana uliokuwa unawaona vilaza saizi wana push lc300 lanzima kichwa kiwake moto.
Acha tu ndugu!😀😀😀 kwanini lakini
Akikupa usinisahau 😁Braza Castle_Lite naomba kazi, wako mtiifu
Ana liquor store atupe kazi me naingia mchana we unakesha 😂Akikupa usinisahau 😁
Castle_Lite fanya kitu 😎Ana liquor store atupe kazi me naingia mchana we unakesha 😂
Ewaaah atakuwa kwenye meeting na CEO sasaCastle_Lite fanya kitu 😎
Ngoja akimalizaEwaaah atakuwa kwenye meeting na CEO sasa
Tuishi je?Msilalamike sana na nyie hebu endeleeni kuishi
We ishi tu life lako dunia tunapita 🤣Tuishi je?
mkuu ulishawahi ona Professor ana hardware iliyosimamaAcha tu classmates wa primary wanashusha contena za kutosha na wanapost status😨
Acha tu classmates wa primary wanashusha contena za kutosha na wanapost status😨
Mm sio Mzee. Ila kuna namna naisifu Elimu ya Mkoloni.
Kulikuwa na watu wa fani mbalimbali (ufundi stadi) na watu wa taaluma white collar Job.
Sasa hapa katikat kama taifa hawakuipa kipaumbele Taaluma ya fani mbalimbali na wakaona fani sio mwelekeo sahihi. Wakaelekeza kwenywe wasomi na kutengeneza watu weng wa white collar job ambao pia kazi hazipo za kuwasitiri wote.
Kuna mtu anamaliza SUA.
Ila anasubiria aajiriwe.
Wakat mfano kama amesomea Livestock alitakiwa
Awezeshwe afuge na aelimishe jamii inayomzunguka maana anajua mifugo kwa undan . Na ataleta tija kwa jamii na taifa.
Ila sasa mtu kama huyo anataka aajiriwe. Inafikirisha.
Ila ni kwasababu ametaarishwa hivyo.
Elimu pia ifupishwe.
Elimu ya Sekondar iwe miaka 4.
Mtoto akimaliza aingie kwenye fani na taaluma anayoipenda.
Kwa miaka 2 , 3 au 4 na akitoka hapo akiwa ana miaka 18+ awe anafanya kazi.
Kule kwao mtoto ana miaka 16 ana degree. Huku hadi 21+.