Ebu umiza kichwa kidogo?

Ebu umiza kichwa kidogo?

Nimesomea sheria, miaka 28,mkoa Dsm ila saiv masomo nishaachan nayo napambania maisha yangu
Mkuu Degree mbili umezisoma chap na haraka. Sheria miaka 4, na degree nyigineyo miaka 3, 7 yrs upo chuoni. Hongera sana.

Elimu yetu tunatumia muda mwingi shuleni.

Tumesoma na Jamaa mmoja Form one 2011 pale Mhongolo Progressive Sec. School, form one tu jamaa kaachanga shule akaingia kwenye business za mzee wake.

Hadi muda huu jamaa ana tandamu kama 3, ana malori n.k, maisha haya. Bora nigeishiaga form four tu. Unakuwa kweny ajira muda wote unaishia kwa mwajiri.
 
pole ila hujachelewa njoo nikupe mbinu
 
Miaka nayo sasa 😂 inakimbia utadhani imekula pilipili kichaa
Ndio hivyo ndugu yangu we acha tu!🥹
897E7482-FBC8-4069-BDCF-A513F3D6DF73.jpeg
 
Mkuu Degree mbili umezisoma chap na haraka. Sheria miaka 4, na degree nyigineyo miaka 3, 7 yrs upo chuoni. Hongera sana.

Elimu yetu tunatumia muda mwingi shuleni.

Tumesoma na Jamaa mmoja Form one 2011 pale Mhongolo Progressive Sec. School, form one tu jamaa kaachanga shule akaingia kwenye business za mzee wake.

Hadi muda huu jamaa ana tandamu kama 3, ana malori n.k, maisha haya. Bora nigeishiaga form four tu. Unakuwa kweny ajira muda wote unaishia kwa mwajiri.
[/QUOTEMaisha akili kaka elimu niyakupa tu mwanga
 
Back
Top Bottom