Ebu bashiri umri wa members humu JF

Binti wa zamani 33
Harmful 23
dosho12 27
😹😹😹😹😹
Em ongeza miaka 33 hapo 😎,mi ni muhenga
Kwamba aunt kanipita miaka 10πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Hebu nipunguzie miaka 23 ni mingi 🀣🀣🀣
Ana utani na wewe, nakumbuka kipindi nafikisha miaka 30 kwenye birthday yangu ulisema ukiwa mkubwa unataka kuwa kama mimi ukiwa una miaka 7 😁
 
Em ongeza miaka 33 hapo 😎,mi ni muhenga

Ana utani na wewe, nakumbuka kipindi nafikisha miaka 30 kwenye birthday yangu ulisema ukiwa mkubwa unataka kuwa kama mimi ukiwa una miaka 7 😁
Bro na wewe huo Mwaka si ndiyo nilikataliwa la kwanza kisa nina miaka 4 iweje useme 7 πŸ˜†
 
Mimi imebidi niwaulize vijana wa humu kwani kwao hakuna wazee sisi wa miaka 80 hata kutukumbuka japo kwenye tabiri zao za makadirio wamegoma!
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† wazee wako kwenye kahawa, miaka 80 si unaongea uku unatetema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…