EBSS 2012 winner ni Walter Chilambo

Dah dogo kweli mkali mana alivoanza kwa misukosuko na kuwah kuwa kwenye denja zone lakin hatimae ameshinda.Pongez kwake
 
kwa mara nyingine tena, bongo star search wakosea tena kumpa mtu ambae kiuhalali hakustahili kushindi kwa sababu hakua na kipaji badala yake alikua anajitahidi tu kuimba na kumuacha binti salma kutoka zanzibar ambae kwa hakika alionyesha kipaji, na sio juhudi za kuimba pekeee.

kama ambavyo mnaona matekeo yake mastaa wake wote hua hawatambi kwenye gemu. Napia huacha real singers wengi katika michujo yao, na kuchagua watu ambao hata haieleweki ni kwanini. Real wanauwa vipaji.
 
Kweli wewe ni MGANGA WA KIENYEJI. Umepig ramli nini???

Nimekua nikufaatilia kwa muda mrefu, hawako realistic,pamoja na kua na kebehi kwa washiriki na kuonyesha wao kwa wao majaji kua hawako proffessional. Labda waseme kua Diamond ni mshindi wao. Maana hata yule alibino walio muacha na kumuonyesha leo. ni ushahidi kua walichemka. where is jumanne Iddi, where is Misoji etc. It is a shame.
 
Sasa unatarajia nini ikiwa Jaji ni Master J ambaye hajui lolote kuhusu muziki isipokuwa ujinga wake wa bongo fleva
 
Tangu alipoanza top 20 nilimtabiria ushindi sauti yake nzuri sana ila alikuwa mnyonge. Hongera sana Walter
 
Walter Chilambo amefanikiwa kuchukua shindi wa shindano la kusaka vipaji BSS kwa kuwabwaga wenzake watano ambapo nafasi ya pili imeenda kwa Salma yusufu na watatu ni Wababa mtuka ambapo wanandugu nsami nkwabi nafasi ya nne na Nshoma nkwabi nafasi ya tano.
 
Mshindi wa kuiga nyimbo au mshindi wa kipaji cha kutunga na kuimba?
 
Ndo mshiriki pekee niliyemtabilia ushindi... Kapata haki yake mnao laumu mnalaumu nini pale ni kura zetu tu
 
Afadhari kashinda Walter kuliko angeshinda wababa ambaye walijitahidi sana kumpa promo wakati hata kuiga hizo nyimbo alikuwa anachemka. Nazid kufarah kuona pia Salma kawa wa pili japo kiukweli alistahili kuwa mshindi ndan ya wale top3. Huyu wababa hakustahili kuwamo top3, hapo alistahili Nshoma. Kwa maoni yangu, pamoja na kula za mashabiki, majaji kama kweli wanaweza wajitahidi kuangalia vipaji regardless nani anakula nyingi za wananchi. Hongera kwa SALAMA JABIR atleast anajaribu kuwa realistic
 
Nimempenda sana Salma! she is very talented sweet young gyal! seems very humble too! bless her. I would love to see her

performing at the Sauti za Busara.
 
Huwa kila mwaka tunasifia ooh misoji mkal,pasco mkali,walter mkal bt at th end of the day wanadisappear...hakuna kipaji wanachovumbua bss wanachofanya ni kutafuta bingwa wa kukariri miziki ya wengine na kuitema kama ilivyo...so until watakapolitambua hilo watagundua true talents in music
 
Wote mbulula tu,hawa wanaoachwa wakiwa na vipaji ni wapi na mbna atuwasikii?akuna cha wakwanza wala wa 8,bss kwa ujumla wake ni mbulula. shndn mwnz mwsho wanacpy nymbo za w2 unategemea nini,ni kama mwanafunz alie zoea kuangalizia darasan,atafaulu vizur masomo yake lakn practicaly atakua hana k2,
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom