Wana jf naombeni kuuliza, niliagiza mzigo flani kutoka ebay na kesho natarajia nikafanye payment, kuna mtaaram anaye jua makato ya TRA, afu mzigo ukishafika na dhl unapigiwa cm kwa ajili ya malipo ya tra au, naomba msaada cpo shwali kwenye hayo mambo, pls
Wakuu samahan hv ukitaka ukwepe kodi unafanyaje? mh maan naona kodi hapo imekuwa ni kubwa sana
Kama unakuja na DHL watakujulisha, lakini saa zingine DHL Tanzania wanakuwa wazembe inabidi uufatile kwa karibu.
Nakusalimia tu....where have u been? kitambo ati....
Wana jf naombeni kuuliza, niliagiza mzigo flani kutoka ebay na kesho natarajia nikafanye payment, kuna mtaaram anaye jua makato ya TRA, afu mzigo ukishafika na dhl unapigiwa cm kwa ajili ya malipo ya tra au, naomba msaada cpo shwali kwenye hayo mambo, pls
Waalekum Salaam, fata link: https://www.jamiiforums.com/jf-chit...s-nao-kuanza-kutekeleza-kauli-ya-pinda-2.html
Ramadhan Kareem
Ilikuwaje? mbona nasikia ebay hawaship tz? na umechukuwa siku ngapi toka ulikoununua (utataja) mpaka tz?
They ship to any country depending on the person who is selling, kama a particular product doesn't ship to your country they usually say it kabisa. Last time i bought something on ebay it took 4 days maximum hadi kupata, but sometimes inachelewa again this depends on the shipping method, kama ni free shipping it usually takes longer
Hivi zile bei za simu ni za kweli? Baona kama vile bongo zinauzwa ghali sana. Natamani nifungue business ya kununua huko na kuziuza hapa bongo. Wajameni mnashaurije? CYBERTEQ
Mkuu ThinkPad unaweza kuwasaidia wadau hapa?????