Ebaneeee!... Niliagiza secondhand laptop Ebay, hiki ndicho nilicholetewa posta!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ebaneeee!... Niliagiza secondhand laptop Ebay, hiki ndicho nilicholetewa posta!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Steve Dii, Sep 6, 2008.

 1. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  [​IMG]


  Tafadhali sana, naomba msaada kumpeleka idara ya wanyamapori... bado anapumua, juzi nilimpatia dengu na choroko, lakini anaonekana kupendelea zaidi uji wa mtama!  wkend njema :D
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2008
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  mmmh hii sio kweli ni story kama za SHY ............. ni udaku tu huu.
   
 3. africa6666

  africa6666 JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2008
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 281
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  haiwezekani sababu kwa wenzetu hiyo ni ghali kuliko LAPTOP
   
 4. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2008
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Wewe kaka mkubwa fix zimeanza lini tena jamani?
  au ndio style yakuaga pindi weekend inapoanza?Yaani unaacha umetushika maskio kwa bonge la fix fungua mwezi.  :)
   
 5. M

  Mutu JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2008
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  this is fun duh!
   
 6. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2008
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Hafu ni utani wa ngumi ujue
   
 7. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  (Epa - picha ya hivi karibuni)

  Napenda kuwapa-update tu kuwa yule mnyama niliyetumiwa kwenye posta bado yu mwenye afya njema. Sikuweza kupata msaada kutoka idara ya wanyamapori, najitahidi kumudu hivyo hivo Ila anakula sana siku hizi. Ameanza kupendelea matopetope na mbegu za maboga kwa sana, kama kuna mtu analima maboga naomba anitaarifu nitafute njia ya kusafirisha.

  By the way, tumeshampatia jina. tunamwita Epa, jina bado hajalizoea sana, kama kuna mtu mwenye pendekezo la jina jingine naomba anipatie.
  Wkend njema.
   
 8. Capitol Hill

  Capitol Hill JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2008
  Joined: Oct 19, 2007
  Messages: 733
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Eh bwana..hiyo picha hapo juu (mwanzoni kabisa) iko kama imepigwa kwenye dumbster?
   
 9. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Ha-ha-ha-ha-ah.... Ah Ha-haa-hah-ah!
  This is so funny

  Huyu mnyama ni mvivu hata kufungua macho
  .
   
 10. NaimaOmari

  NaimaOmari JF-Expert Member

  #10
  Sep 26, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 807
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Steve .. you are a big head .. nimeingia na jazba kukupa kwanza pole na kuwapiga madongo walokuuzia laptop.

  nakushauri tu .. keep that animal away from the reach of children ... na kama ni gharama mpeleke butcher ... sijui wapi maana hata mbwa na popo wanaliwa kule
   
 11. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #11
  Sep 26, 2008
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,196
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  SteveD huyo Epa akitoa USHUZI utakaa kweli? au na wewe utamrudisha 'EBay'.
   
 12. K

  Kipanga JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 679
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ...Mwite "Fisadi" maana anaonesha anapenda kujinafasi bila kutoka jasho cheki hata alivyokaa hapo..Sura yake inafanana na Fisadi mmoja al-maarufu sana anaitwa..... Muangalie vizuri utagundua tu.
   
 13. Castle

  Castle Member

  #13
  Sep 26, 2008
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 87
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  i think they are crazy
   
 14. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #14
  Sep 28, 2008
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Brother Steve, umimnywesha nini huyu, mbona vimacho havitaki kufunguka, au kunlisha kungu? Mmmh! Mi naona kumnywisha gongo...wewe..?

  Umiusikia lakini ushauri wa sister Naumi... ahah ah ah... eti anafaa kwa kufanywa mishikaki lol!
   
 15. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Napenda kuwahabarisha tu kuwa Epa yu mwenye afya. Sema tu wiki chache zilizopita alipatwa na viroboto... tulinunua dip na kumwogesha kwenye beseni. Sasa hivi yuko fiti tu na kwa kweli kawa mtundu sana.
  Juzi kuna mbwa wa jirani alikuja maeneo ya karibu na dirisha kwenye mti anaopenda kukaa, acha atuchekeshe. Alimtolea ulimi na kuanza ku-blow rasberries (zile sauti za kumstitua mtu mwenye busha). Mbwa alivyojiondokea... akaacha. :) :)
  Weekend njema!!


   
 16. M

  Mama JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  aaaaahhh!!! nyani haoni kundule eeh??
   
 17. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2008
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Steve D kweli wewe ni mkali kwenye vituko....yaani kama huna akili ya kuweza kuchambua...ulivyo eleza utaishia ku blame katuni huyo...ila i have understand japo kuw asio mzuri kwenye uandishi...hii si kama shy wa copy and paste...mpaka unasahau kama uli copy and paste wakati flani..unajichanganya.
   
 18. M

  Masatu JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  SteveD

  Huyo EPA wako kiama chake ni October 31 atakuwa katika dinner table za watu....
   
 19. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ....lakini wajua Masatu, jinsi vile alivyo mtundu.... ikifika siku hiyo hachelewi kupotelea ndani ya 'laptop'!!!
   
 20. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #20
  Sep 4, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ndugu zangu, nina furaha kubwa kuwataarifu kwamba Epa keshapata mtoto. Ana miezi minne sasa na wote wanaendelea kwa afya njema. Ilinibidi niwasiliane na idara moja ya kimataifa inayoshughulika na cross-border endangered species, member mmoja makini wa JF aliniunganisha nao baada ya kuwa amesoma maombi yangu. Kwa kweli ni furaha iliyoje, maana tulifanikisha kupata dume na kumpandikiza Epa, jamaa wanaushirikiano mwema sana.

  Picha za karibuni niliyompiga Epa ni hii hapa:
  [​IMG]
  Epa akiwa na mtoto wake, Epa Junior.

  [​IMG]
  Huyu ndiye baba wa Epa Jr. kama nilivyompiga kwa kutumia kamera ya kimobiteli changu kwenye sanctuary ya wanyama walionusurika.

   
Loading...