EATV mnakoelekea mnatia aibu sana!!!

Eti wanamuita sijui bill sepenga
898f47afc116ac00e69e786c1be1696b.jpg
Kumbe ni huyu chizi
 
du kama ni hivyo kweli jamaa anaboa si mchezo. hiko kipindi kinahusu nn wakuu?
 
Jamaa linapenda kurembua ka demu na kuji lamba midomo ka ma mbwa anaekunywa maji kucheka cheka hovyo kushika misambwanda ya wadada alio waalika kwenye kipindi kung'ata kucha kuinama hovyo kihasara hasara lisemwalo lipo inawezekana ni kweli mchele mke wa mjerumani....
 
Yule jamaa itakua pungA

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
hivi huyu boya nani alimwita hapo na huu utaratibu umeanza lini yani mtu inakera sana kwanini asiwekwe kipindi kinapoisha zile dakika tano za mwisho ndo aongee upuuzi wake huo
 
Back
Top Bottom