habari zenu wanaJF,
Kwa wale tunaofuatilia matangazo ya kituo cha televishen EATV (channel 5) utangundua kuwa kituo kimepoteza ubora sababu nyimbo kila siku (kama kwa muda wa wiki 3) hizohizo na kwa mtiririko uleule, sa nyingine wanakatisha nyimbo. Hali hii inakera sana...wahusika fanyeni mabadiliko 2MECHOKA!
Hongera ndugu yangu! Sisi hata huo mtiririko hatuwezi kuuona coz umeme tunapewa 6 night hours. Halafu chou unarudi lini wewe?habari zenu wanaJF,
Kwa wale tunaofuatilia matangazo ya kituo cha televishen EATV (channel 5) utangundua kuwa kituo kimepoteza ubora sababu nyimbo kila siku (kama kwa muda wa wiki 3) hizohizo na kwa mtiririko uleule, sa nyingine wanakatisha nyimbo. Hali hii inakera sana...wahusika fanyeni mabadiliko 2MECHOKA!
ndioo maana kuna chanel kibao kama vipi we angalia CTN
Ulikuwa wapi dogo...nimekumiss kwenye free style battlehabari zenu wanaJF,
Kwa wale tunaofuatilia matangazo ya kituo cha televishen EATV (channel 5) utangundua kuwa kituo kimepoteza ubora sababu nyimbo kila siku (kama kwa muda wa wiki 3) hizohizo na kwa mtiririko uleule, sa nyingine wanakatisha nyimbo. Hali hii inakera sana...wahusika fanyeni mabadiliko 2MECHOKA!
2po kwaajil yakuleta mabadiliko +ve sio ubishi.kwani lazima uangalie?? weka tbc hukoo uangalie kilimani sensemi