East Africa Should Let Tanzania Go...

East Africa Should Let Tanzania Go...

We Tanzania, we have everything in our country tofauti na nchi nyingine za EAC ambazo maisha ya watu wao wanategemea Tanzania. Huwezi kukuta Watanzania wapo Kenya, Uganda au nchi nyingine yoyote ambayo ni member wa EAC wakihangaika hovyo kama Wakenya na Waganda wanavyohangaika. Wakenya bila ya Tanzania watakufa njaa na wataua kama kuku. To Hell EAC

Watanzania hawako Kenya because the average tanzaninan can not afford even a bus or plane ticket to travel to any other country. Logic hii yako inasikitisha and its a good example of just how pathetic our education system is. Shida yetu Watanzania ni xenophobia na uzembe. Kazi yetu ni kuwalaamu wenzetu kwa masahibu yetu. Rwanda overtook us long time ago and we will forever be the poorest and the least developed country in Africa with this mentality. Nimetembea Kenya na Uganda na kama ni midomo na uwezo wa kubishana, Tanzania ni namba moja lakini in everything else we have a problem!
 
..we have Uranium,Natural Gas,Gold,Diamonds, Coal, Iron ore, na mazagazaga kibao.

..we should drag our feet for the next 5 yrs kabla hatujaondoka kabisa ktk EAC.

what have you done with all the resources. Tunajigamba ilhali hakuna hata mmoja wenu aliyenufaika! All the profit goes to South Africa, Kenya na Uingereza...Rostam
 
Huu ulimbukeni wa muungano sijui wa kisiasa mara wa kiuchumi na utumbo wa kila aina tunaoambiwa vinakera mno... Hakuna faida ya maana atakayopata mwananchi wa kawaida kutokana na huu utaperi wa muungano tunaoambiwa. Mimi huwa nauliza kama kuungana ni muhimu hivyo, kwa nini hatuungani na Zambia na Msumbiji??? Kwa nini tu ni hawa wakabila na walafi wa madaraka??? Kitu muhimu ilikuwa ni kuwa na mahusiano mazuri tu nao kama majirani zetu. Hivi kama watawala wetu wanatuibia kiasi hiki itakuwaje wakiwa wakenya, waganda nk?
 
LOl, hakuna faida kwasababu ya uzembe wetu. Kazi ni porojo huku watu wanatarajia serikali kufanya kila kitu. You have to learn to be competitive! We are no longer under ujamaa be competitive ama you will be swallowed. Kenyans, ugandans and rwandans are here and more are coming if you can not compete you are doomed and that is why you are complaining.
 
..we have Uranium,Natural Gas,Gold,Diamonds, Coal, Iron ore, na mazagazaga kibao.

..we should drag our feet for the next 5 yrs kabla hatujaondoka kabisa ktk EAC.

The report by our sister paper, The Guardian on Sunday, clearly states that in the past three years, Tanzania sold minerals to the tune of 7.2trn/--- equivalent to 50 per cent of this year’s government budget. Despite the huge sales, only 315bn/- (only 4.4 percent) went into the government coffers in terms of royalty.....only 4.4% ambayo hata yenyewe inaishia kwa mafisadi,hata hiyo gas sijui inasaidia nini zaidi ya migawo ya umeme wa bei mbaya,nyie watu bado mnaishi dark ages.
 
Say whatever you, my fellow Tzs. Remember one thing. The only remedy for UFISADI in Tz is the EAC. Once we unite....... there will be no mafisadi.

Kubalini EAC hata ikiwa ni ajili ya kukomesha ufisadi.
 
The report by our sister paper, The Guardian on Sunday, clearly states that in the past three years, Tanzania sold minerals to the tune of 7.2trn/--- equivalent to 50 per cent of this year's government budget. Despite the huge sales, only 315bn/- (only 4.4 percent) went into the government coffers in terms of royalty.....only 4.4% ambayo hata yenyewe inaishia kwa mafisadi,hata hiyo gas sijui inasaidia nini zaidi ya migawo ya umeme wa bei mbaya,nyie watu bado mnaishi dark ages.

We Tanzanians have a problem that prevents us from realizing true benefits from our mining endowment: We expect benefits to be accrued from the taxes collected from the miners.

The truth is that mining brings economic value thru the creation of linkages with other sectors of the economy - eg with the power and manufacturing sectors. If, say, we succeed in getting Tanesco to supplypower to the mines, Tanesco will be out of the red, Tanesco will then have the wherewithall to increase production by developing assets such as Steiglers Gorge. This will, in turn, benefit other electicity consumers. The multiplier effect of more electricity is obvious to the thinking mind

If we can further exploit Mchuchuma and Liganga to produce Steel Balls for the gold mines, a multiplier effect never seen before will become a reality. Liganga and Mchuchuma will, in their own turn, produce further linkages

Linkages with supply side industries account for 60% of the moneis collected from sale of gold. Right now, this windfall is going to producers in Kenya, India, SA and China. We could as well do away with taxes and concentrate on supplying inputs to the mining industry and we would be much, much, better off

By expecting to benefit from tax alone, we should then adjust our expectations to seeing the government increase its embarrasingly exorbitant fleet of STK's and referrals of chosen ones to Appolo.

We Tanzanians have a problem that prevents us from realizing true benefits from our mining endowment: We expect benefits to be accrued from the taxes collected from the miners.

The truth is that mining brings economic value thru the creation of linkages with other sectors of the economy - eg with the power and manufacturing sectors. If, say, we succeed in getting Tanesco to ....

...say what you say lakini hakuna any justification ya nchi kupata only 4% huku almost 95% ikiondoka na hao so called wawekezaji,na ukweli hakuna faida yote ya uliyosema kuanzia employment hadi infrastructure haya makampuni yameleta,kazi nyingi wanazotoa ni low wages ambazo hazina security zile za maana wamewapa wenzao waliokuja nao,infrastructure ni kwa ajiri yao na wala sio hata vijiji,zaidi ya visima vibovu vya maji na madawati mabovu wanachopata wanavijiji ni vumbi tuu na mashimo huku billions ya utajiri wao ikiondoka bila kujua,na ukweli hii ni kwa sababu ya mikataba mibovu iliyojaa rushwa na uzembe na hata wanachotakiwa kulipa hawalipi kila mwaka wana declare losses tuu na tax holiday isiyoisha,nchi inaonekana ina GDP kubwa sana kutokana na haya makampuni kuuza trillions of gold kutoka TZ kila mwaka lakini tunachopata ni hiyo 4% inayoishia kwa mafisadi pia,mbaya zaidi ni accounting tricks wanazotumia hao jamaa amabazo zinaficha trilions zisionekane kwenye vitabu lakini yote hii kwa sababu ya incompetency ya serikali ya CCM.
 
The truth is that mining brings economic value thru the creation of linkages with other sectors of the economy - eg with the power and manufacturing sectors. If, say, we succeed in getting Tanesco to supplypower to the mines, Tanesco will be out of the red, Tanesco will then have the wherewithall to increase production by developing assets such as Steiglers Gorge. This will, in turn, benefit other electicity consumers. The multiplier effect of more electricity is obvious to the thinking mind

Mkuu kwani ni mgodi gani unategemea umeme wa TANESCO. Navyoolewa Migodi karibu yote inazalisha umeme wao na sio hapo wana exemption kibao wengine kwenye returns zao za VAT seriali ndio inajikuta iingie mfukni kulipa haya makampuni na sio vice versa.

Usiashagae kwa hali ilivyo sasa kodi ya mkulima wa kahawa inatumika kwa serikali kulipa tax return ya kampuni fulani sababu mgodi fulani haujaanza kulipa kodi lakini mgodi ilinunua spare part fulani ya kuendehsa mgodi na ukatozwa VAT.

I think what u have writtne can work if all factors were constant lakini tulipo sasa its not the case. Ndio maana hata hii jumuiya si ya kwenda kichwa kichwa tu. Its too political. Na tayari EU imetoa funzo
 
Mimi ni Mtanzania,muungano huu ni muhimu sana.jamani tukiwa pamoja tutakuwa mbali sana.hacheni fikira potofu hapa.muungano uje na watanzania watabadilika tu.asante sana mtoa mada
 
to me its vice-verse, Kenya is like a man forcing himself to a woman (Tz), he knows despite all that 'I dont want you' facade she's putting on, all those dates she didn't show up, all that money he spent to woe that dumb, lazy blonde, he'll eventually get her to bed, tap that, and he'll be on to the next one.

That is madness, no one would think that way! you see its like a woman in that hotel 682 waiting for KQ late passengers travelling from Accra, now every comming she will come close and say, hi, kama nakujua vile unatoka Nakuru, No way my friend, this thig will not work because we know that you are hungry! you see when you took away our EA Airways, now KQ we were very much concerned, and what will be the difference? Infact I think, with some naked truth that without this EAC thing we will continue being good friends for long time unlike if we will form this Kenya driven EAC that will eventually collapse and you know what will hapen if you will do what you did in 77, so better go back sit down do your own things, do not act like a naked blonde forcing herself to a man.
 
we are crying because of the levies charged at the borders, this will eventually be charged to the final consumers of the products, which will lead to inflation.. that's not something to be proud of and I'm pretty sure some govt officials are busy trying to reverse it coz its not sustainable and is not meant to help Tanzania in the long run.

You see the kind of arrogance you are trying to potray! poor economics lecture! Inflation caused by a single Kenya border! that is kidding! You know what is happening, many of you guys will charge high on you tourists comming to Kilimanjaro that is claimed to be in Kenya, so when they refuse to pay that, you know what will happen, there are all reasons to charge that, and I think it is not enough, may be more, kam hamtaki msije! at least we know how to model the extremes, other distributions do not add much analysis to the tail, now think big and go to hell!
 
Benjamin Mkapa pia alidunda, alipofanya bei ya vitu kuwa ghali

Tunafahamu hilo jirani, na ndio maana hatuwekezi kwenye huu utakaso bandia! Kinachochosha watu ni hizi kelele za ubwana-mkubwa anayetaka kutembelewa na wapenda chai, mwenye wa 'dynamic' media zinazomulika kila kona na sasa anakwamishwa na jirani maskini! Kwanini huyu tajiri anamtafuta maskini? Watu hukimbilia cheque na sio invoice? Sasa hapa mnakwazika kwa lipi? cheque au invoice?
 
Haya matusi tunatukanwa kwamba we have resources hatufaidiki, ni kwakuwa sisi wenyewe tumeshindwa kuwa waadilifu, sasa guys 2015 we need people ambao kweli wataleta uchumi kuwa juu, vi nchi kama Kenya eti GDP kubwa kuliko TZ si unaona sasa dharau hizi, we need change haraka, with gas, uranium, etc. najua jamaa mnasoma hii, angekuwa rais ni Slaa saa hizi tuko mbali kila siku nitawaambia, mkinuna sawa, lakini when it comes kwenye masuala ya nchi lazima muwe wazalendo!
 
...say what you say lakini hakuna any justification ya nchi kupata only 4% huku almost 95% ikiondoka na hao so called wawekezaji,na ukweli hakuna faida yote ya uliyosema kuanzia employment hadi infrastructure haya makampuni yameleta,kazi nyingi wanazotoa ni low wages ambazo hazina security zile za maana wamewapa wenzao waliokuja nao,infrastructure ni kwa ajiri yao na wala sio hata vijiji,zaidi ya visima vibovu vya maji na madawati mabovu wanachopata wanavijiji ni vumbi tuu na mashimo huku billions ya utajiri wao ikiondoka bila kujua,na ukweli hii ni kwa sababu ya mikataba mibovu iliyojaa rushwa na uzembe na hata wanachotakiwa kulipa hawalipi kila mwaka wana declare losses tuu na tax holiday isiyoisha,nchi inaonekana ina GDP kubwa sana kutokana na haya makampuni kuuza trillions of gold kutoka TZ kila mwaka lakini tunachopata ni hiyo 4% inayoishia kwa mafisadi pia,mbaya zaidi ni accounting tricks wanazotumia hao jamaa amabazo zinaficha trilions zisionekane kwenye vitabu lakini yote hii kwa sababu ya incompetency ya serikali ya CCM.

Kwenye hiyo 95% unayosema inaenda kwa wawekezaji, 60% inaenda kwa watu wanaotowa huduma (supply-side value chain players) kuwezesha uzalishaji. Hapa unawakuta watu wa mafuta (BP, ESSO, Shell etc), watu wa kemikali (Caustic Soda, Cyanide, Activated Carbon, Acid etc), watu wa grinding media (Meggataux, India etc), watu wa Umeme (Rolls Royce, Tanesco ingeweza kuwepo lakini kama waTZ wengi, inakalia kusubiri ruzuku), magari (Cateppilar, Komatsu, Terex), watu wa milipuko (African Explosives) na wengine wengi. Vile vile kuna mishahara ya wafanyakazi (waTZ na Expats).

Siyo kuwa 95% yote inaenda kwa mwekezaji. Hiyo dhahabu haiokotwi tu - inafanyiwa kazi sana.

Unaposema ajira zinazotengenezwa kwa waTZ ni mbaya ni kwa sababu hatujawekeza kufundisha vijana wetu kwa kiwango wanachohitaji wanaohitaji wawekezaji. Kama wangekuwepo waTZ wenye uwezo wa kufanya hizo kazi, nakukuhakikishia kuwa mwekezaji asingejisumbua kujipalia migharama ya kumleta expat TZ. Vile vile ni wewe tu haujui, kuna waTZ wengi sana wanaofanya kazi za maana kwenye hii migodi. Na wengine mpaka wamekuwa ma-expat nchi nyingine; Zambia, Australia, Brasil - waTZ wanapiga kazi za uhakika huko.

Siwezi niakajibu kila kitu ulichosema kwani nitajaza server na bandiko langu halitasomwa, lakini nimalize kwa kuwasihi watu kama wewe muache kufikiria mambo kijuujuu mno. Usijifikirie wewe tu kwa sababu una kazi yako nzuri na unaishi Masaki. Fikiria kuhusu vijana wanaopata fursa ya kufanya kazi kwenye hii miradi mikubwa, fikiri kuhusu makampuni yanayochangamkia kazi za migodi...
 
Mkuu kwani ni mgodi gani unategemea umeme wa TANESCO. Navyoolewa Migodi karibu yote inazalisha umeme wao na sio hapo wana exemption kibao wengine kwenye returns zao za VAT seriali ndio inajikuta iingie mfukni kulipa haya makampuni na sio vice versa.

Usiashagae kwa hali ilivyo sasa kodi ya mkulima wa kahawa inatumika kwa serikali kulipa tax return ya kampuni fulani sababu mgodi fulani haujaanza kulipa kodi lakini mgodi ilinunua spare part fulani ya kuendehsa mgodi na ukatozwa VAT.

I think what u have writtne can work if all factors were constant lakini tulipo sasa its not the case. Ndio maana hata hii jumuiya si ya kwenda kichwa kichwa tu. Its too political. Na tayari EU imetoa funzo
[/SIZE]

Soma vizuri post yangu. Nimesema kuwa tunapoteza opportunity kwa kutounganisha (linking) sekta zetu na hii migodi. Nimeeleza kabisa kuwa Tanesco haijatoa huduma kwa hii migodi na kwa kutofanya hivyo inapoteza hela ambazo zingebaki TZ. Tunashindwa mpaka yanakuja makampuni ya Uingereza kuzalisha umeme kwa ajili ya migodi.

Sasa Tanesco wanashindwa kuchangamkia hii biashara ambayo ingewatoa kwenye matatizo yao yote ya ukwasi na badala yake inajikita kwenye siasa zaidi. Kazi kubwa ya Tanesco imekuwa kuchagua tupeleke umeme kwenye kijiji cha waziri gani mwaka huu, au tupeleke mgao wa umeme wapi leo. Haifikirii kibiashara
 
Tanzania ina dharauliwa na wabongo kuonwa ma mbumbumbu kwa kuwa mna raslimali nyiingi sana, amani tele, mashamba makubwa yenye rotuba, raia ni wengi kwa hiyo soko ni kubwa.. lakini hamna chochote mnacho vuna mwisho wa siku. mnashinda hapa mkibishana na wakenya watu ambao hawana raslimali yeyote isipokuwa human resource, na nchi yao ina migogoro ya kisiasa kila kukicha, mnalinganisha uchumi mbili ambazo hata hazifai kuwekwa kwenye ratili moja, Tanzania ni nchi yenye potential nyingi lakini nyie watanzania, waswahili kazi nikuongea tu na kuponda CCM ndio mnaoharibu nchi yenyu. uvivu umekithiri hadi ikawa entrenched kama culture, Tanzania is associated with laziness, alot of unnecessary complains, illiteracy, and of late corruption.

If you want change you need to go out and demand for it, it doesnt come on a silver platter. if you unanimously feel like the EAC is short changing y'all, you need to go to the street and demand for what you see is rightfully yours.. sitting behind a computer and issuing threats and complaints is plainly dumb, it wont solve anything. Kenyans are coming to Tanzania to trade and to work, all this empty talk wount change that. quit being xenophobic and build your country.
 
We Tanzania, we have everything in our country tofauti na nchi nyingine za EAC ambazo maisha ya watu wao wanategemea Tanzania. Huwezi kukuta Watanzania wapo Kenya, Uganda au nchi nyingine yoyote ambayo ni member wa EAC wakihangaika hovyo kama Wakenya na Waganda wanavyohangaika. Wakenya bila ya Tanzania watakufa njaa na wataua kama kuku. To Hell EAC

on a lighter note, it is Kenya, Burundi, Rwanda, or Uganda that will provide the most immediate market for Tanzanian industries and should therefore, work towards that goal. If they cannot see the potential in themselves they should not blame others that drive to exploit it. Tanzania is the largest country in the EAC by population and demographics but they have refused to extend that largesse to their economic and development policies.

http://eastafrican.userboard.net/t23-linda-nchi-which-way-forward#3010
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom