East Africa Should Let Tanzania Go...

The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,607
6,071
Tanzania is behaving badly. Something has spoilt the people of hela and dala dala. They are clearly growing horns and something needs to be done about it before they begin thinking they are the regional bullyboys.

In the village, neighbours drop by unannounced for a cup of tea every now and then. Thus, a few months ago, President Museveni of Uganda dropped by the cattle boma of President Kagame of Rwanda. Over a cup of tea, they agreed to bury their past disagreements and forge new relations. Shortly afterwards, President Kagame paid a revenge Christmas visit to Uganda. Since then, matters have been smooth between those two countries.


Makerere

Downhere, President Kibaki paid a visit to his alma mater, Makerere University, the other day. Apparently, he was so sharp a learner that he was invited back to teach at Makerere shortly after graduation. At any rate, he received an honorary doctorate thanking him for his service to the institution, had a chat with President Museveni and flew back home.

Hardly a couple of weeks later, President Museveni dropped by Kisumu to preside over a harambee. Never mind that, in days past, he had taken to calling our Prime Minister's people "hii wanjaruo" in that inimitable Nyankole-accented "chiswahili" that he speaks so well.
Well, bygones are bygones, and President Museveni is now Ruoth - senior elder of the Luo Nation.

Noisy stink

Not so Tanzanian leaders. Tanzania is cold and haughty where East African matters are concerned. They attend East African Community (EAC) meetings only to throw spanners in the works. Double standards reign in that country. Evidence is everywhere.

A few days ago, the Kenya-Tanzania border crossing had to be closed after Kenyans did what we do best: raise a noisy stink over double standards.
You see, because of our good neighbourliness and some EAC protocols that we have signed, Tanzanians can drive into Kenya and conduct their business here with no problem. No charges, no permits, no questions asked. But the reverse is not true for Dar. Kenyans who want to drive into Tanzania for business must cough US$200 (Sh16,400) each time they cross the border.

Tanzania's GDP per person per month is a mere US$100 (Sh8,200), so every Kenyan vehicle that crosses into that country pays the equivalent of two Tanzanians' monthly economic output.

Even passenger vehicles are not spared the levies. And it doesn't stop there. Whereas Tanzanians visiting Kenyan public facilities - like game parks - are charged the concessionary rates that Kenyans and other East Africans pay, Kenyans doing the same in Tanzania are charged exorbitant "tourist" levies. These guys are also hell bent on sport hunting, notwithstanding the fact that our elephants routinely stroll across the common border.

Kwaheri

Which explains why President Jakaya Kikwete hasn't seen it fit to drop by Kenya, Uganda, Rwanda or even Burundi for a cup of chai. Why should he? Tanzania - with their South African sounding national anthem - after all, pays little more than lip service to the idea of East African cooperation, enraptured as it is by the glittering prospects offered up by South Africa.

The time has come to bid kwaheri to Tanzania and move on with EAC integration.

This article has been written by Peter Wanyonyi from the Standard News Paper of Kenya -
http://www.standardmedia.co.ke/?articleID=2000052893

MY TAKE: Kenya have managed to work on something on the rest of EAC member countries but when it comes to Tanzania it's not that easy.
 
Tanzania is behaving badly. Something has spoilt the people of hela and dala dala. They are clearly growing horns and something needs to be done about it before they begin thinking they are the regional bullyboys.

In the village, neighbours drop by unannounced for a cup of tea every now and then. Thus, a few months ago, President Museveni of Uganda dropped by the cattle boma of President Kagame of Rwanda. Over a cup of tea, they agreed to bury their past disagreements and forge new relations.

Shortly afterwards, President Kagame paid a revenge Christmas visit to Uganda. Since then, matters have been smooth between those two countries.

More at The Standard
 
Is EAC all about cup of tea???? Au kuna mengine ambayo hujayasema

President kufundisha at a UNI na kupewa honorary ni significant kwa nchi specifically na union in general???

Au matter ni hiyo 'border charges'......labda mtu wa hela na daladala ana sababu ya hayo anayoyafanya.........kuuliza kulikuwa kuzuri kuliko kuleta lawama nadhani....
 
You see, because of our good neighbourliness and some EAC protocols that we have signed, Tanzanians can drive into Kenya and conduct their business here with no problem. No charges, no permits, no questions asked. But the reverse is not true for Dar. Kenyans who want to drive into Tanzania for business must cough US$200 (Sh16,400) each time they cross the border.

Tanzania's GDP per person per month is a mere US$100 (Sh8,200), so every Kenyan vehicle that crosses into that country pays the equivalent of two Tanzanians' monthly economic output.
Why bother, stay in Kericho, drink your tea and enjoy the higher GDP in Kenya, WTF!!!!

These morons think Tanzania is a garbage bag, that they can just through themselves into Tanzania, and when they do, they tend to rate themselves as garbage of a higher quality.
Take it from me, you are just garbage, nothing to compare with.

If you think Tz is letting you down, go embrace Kagame and Museven, drink more tea and make babies if you want!!
 
To hell EAC, We have say so many times kuwa hatuitaki EAC lakini wao bado wanatulazimisha. To hell EAC, matatizo tuliyonayo yanatutosha halafu mnataka kutuongezea na mengine. To hell Kenya and his EAC. Hatuuitaki EAC kwa nini mnatulazimisha kwenye muungano hatuutaki? Inawezekana mnafaidika na Tanzania ndio maana mnatulalamikia kuhusu huo Muungano. To hell EAC
 
Wacha habari ya pres wa tz kuja kukunywa chai huko Kenya, umesahau kuwa alikuja kula pilau na kuwashikanisha mikono kibaki na odinga wakati wakenya walipokuwa wakichinjana kama mbwa mwitu?! So huoni kaka role ya rais wa tz ni kubwa zaidi?!, naona wewe unalo jambo, heri uliseme mapema.
 
Au matter ni hiyo 'border charges'......
.
Nisingependa kumsemea mtu wa hela na daladala (kwani upande wa pili kuna njuruku na matatu), lakini tuzungumzie sheria na kanuni za JAM (Jumuiya ya Afrika Masharik)i.
Ikiwa sheria na kanuni zipo, zinapaswa kutekelezwa na pande zote husika. Niliwahi kumsikia Mzee6 akisema kuwa "Tanzania kama Taifa halikuweka hiyo ada ya $200, labda imewekwa na viongozi wa eneo", na kuahidi baadae mwezi ujao atalifuatilia.

Jamani tuwe wakweli na tuweke upande kidogo Utanzania na Ukenya, ambapo kihistoria ni nchi watani wasiotaniana bali kurushiana makombora. Sasa ikiwa kweli (siyajui, nisije kurushiwa makombora) sheria ni kuruhusu mzunguko wa watu na bidhaa kwa kufuata sheria zilizowekwa, inakuwaje kiongozi wa eneo kujiwekea kanuni zake mwenyewe tafauti na zilizokubaliwa? Inakuwaje waziri husika kusema "nitalishughulikia kesho, mwezi ujao?"

Kauli za "hatutaki aridhi yetu, watatunyang'anya kazi zetu" zinaashiria nini wakati mwananchi yeyote wa JAM ana haki ya kwenda kuwekeza na kuajiriwa kokote? Kwa nini wengine wawe na hofu ya kunyang'anywa ardhi na kazi na wa nchi nyengine? Hii ni kwa sababu huyu mmoja amekatazwa asiende kuwekeza au kuajiriwa kule, au hana uwezo wa kuwekeza na elimu ya kumwezesha kuajiriwa?

Yote yote, nahisi iko haja kwa raia na viongozi wa JAM kujipanga upya kabla ya kujenga mnara mawinguni.
 
Wakuu,

Unajua hili suala la EAC linahitaji umakini wa hali ya juu. Usipofanyika itakuwa kama EAC ya Mwanzo au mapungu ya leo ya Muungano wa TZ.

Binafsi nimefanikiwa sana kuongea na Wadau mbalimbali katika nch hizi. Inachoonekana wanashindwa kutambua tofauti za kihistoria za watu zina nafasi kubwa katika hili. Na viongozi wa Tanzania kwa kuwa majority wa Watanzania katika utafiti uliofanywa walisema NO to "Fast Tracking" sasa viongozi wafanyaje?

Kwa nini Watanzania Walisema NO? haya ni maoni yangu:

Hakika Nyerere aliijenga amani na mshikamano wa Nchi hii kwa Gharama. Kuna watu leo hawaelewi kwa nini kwa kiasi kikubwa nchi hii haina Udini wala Ukabila hadi siku za hivi karibuni ambao pia kwa maoni yangu hautafua dafu.

Kipindi cha Mwalimu, kwanza alituletea Uhuru wa Mezani bila kumwaga damu. Baada ya hapo Mwalimu aklihakikisha anawachanganya Watanzania kuondoa makabila, udini na matabaka. Ilikuwa kawaida kama Unmezaliwa Mashariki, kusoma Primary na ama Sekondari Mashariki. Highschool, unapelekwa Magharibi. Chuo unapelekwa kusini. national service unapelekwa kaskazini, kazini unaanza Central. katika hali hii inapofika wakati wa kuoa au kuolewa unavuta aliye karibu na si lazima awe wa kwenu.

katika hili familia zinachanganyika pia. Wakristu na waislamu wanaowana bila shida. Leo hii ukileta ukabila au Udini familia ya nani itabaki?

Kwa Wazazi wetu ambao hawakusoma waliundiwa Vijiji vya Ujamaa. Koo zikachanganyika, watu wakashirikiana, lugha ya kiswahili ikajengeka. Leo hii tanzania ni moja, watu ni wamoja. Hii ni tofauti kwa Nchi za wenzetu ambazo Ukabila na matabaka ya wazi yana nafasi kubwa kiasi kwamba wanaozungumzia EAC si watu wa chini bali ni wale ambao wanajua wana maslahi fulani.

Kwa Watanzania, formula pekee itakayowafaa ni ile inayofanana na walikotoka na wali si hii ya viongozi wa juu wa EAC. Mimi ningependa kutoa ushauri wa bure . . .

1. Kila nchi itenge bajeti kila Mwaka kwa ajili ya Integration
2. katika hili watu kutoka kila Nchi watembelee Nchi zingine kwa gharama za serikali tena bila kubaguliwa.
3. Hawa watu wafikaribishwe na kufilkia majumbani kwa hosts wanaopenda
4. Wakae kwao kama wiki kisha waendelee sehemu au nchi nyingine
5. Wanapokuwa majumbani, wafahamiane na kuangalia kama kutakuwa na Chemistry yoyote na ku-click
6. Zoezi hili likifanikiwa na Watu wakaelewana na kushibana sawa na Nyerere alivyofanya, ni rahisi kwa watu kuunganika "Integration" na hivyo EAC.

Kwa maoni yangu Viongozi wa Kenya na Uganda wana Agenda zao zaidi ya zile za Wananch wao. Endapo Kenya na uganda wameshindwa kuondoa ukabila, wataweza jumuiya? Huu ni ukweli unaouma lakini wacha wameze vidonge vichungu. Jk na timu yake wanalijua hilo.

Kama wako serious kweli, let them do their homework wawashawishi tanzania why EAC ina upako wakati hata mlo wa siku watu hawana.

The real EAC Integration itatokea katika Grassroot level na si kwa viongozi.
 
Is friendly rhetoric more important than intervening to help put an end to political strife that caused the death of more than 1000 civilians and displaced 500,000 others?
Is it more important than providing a safe haven to more than a million refugees from the region?
Is it more important than allowing the export of "officially" banned staple to save the lives of millions in suffering?

Je ni vyema kuleta urafiki baina ya nchi moja na nyingine katika suala hili? Kinachomuuma ndugu mwandishi katika uhusiano wa Tanzania na Afrika Kusini ni nini? Kwa kumsaidia ndugu mwandishi, wimbo wa taifa wa Tanzania uliazimwa toka kwenye wimbo wa chama cha ANC. Zambia, Zimbabwe pamoja na Namibia zote zimetumia aina mbalimbali za Nkosi Sikelel' iAfrika kama nyimbo zao za taifa katika vipindi mbalimbali vya historia zao.

Ndugu mwandishi, "Pilipili usiyoila yakuwashia nini? " Tuache sie kama tulivyo, ndiyo sisi ni masikini hilo hatulikatai na wala haujasikia tukisema vinginevyo. Je ni kwanini uwe na hamasa hasa ya kujishughulisha na mafukara sie?
Namna mwandishi anavyoweka mambo yake inanikumbusha msemo ule ule wa "Masikini akipata ****** hulia mbwata".
 
.
Nisingependa kumsemea mtu wa hela na daladala (kwani upande wa pili kuna njuruku na matatu), lakini tuzungumzie sheria na kanuni za JAM (Jumuiya ya Afrika Masharik)i.
Ikiwa sheria na kanuni zipo, zinapaswa kutekelezwa na pande zote husika. Niliwahi kumsikia Mzee6 akisema kuwa "Tanzania kama Taifa halikuweka hiyo ada ya $200, labda imewekwa na viongozi wa eneo", na kuahidi baadae mwezi ujao atalifuatilia.

Jamani tuwe wakweli na tuweke upande kidogo Utanzania na Ukenya, ambapo kihistoria ni nchi watani wasiotaniana bali kurushiana makombora. Sasa ikiwa kweli (siyajui, nisije kurushiwa makombora) sheria ni kuruhusu mzunguko wa watu na bidhaa kwa kufuata sheria zilizowekwa, inakuwaje kiongozi wa eneo kujiwekea kanuni zake mwenyewe tafauti na zilizokubaliwa? Inakuwaje waziri husika kusema "nitalishughulikia kesho, mwezi ujao?"

Kauli za "hatutaki aridhi yetu, watatunyang'anya kazi zetu" zinaashiria nini wakati mwananchi yeyote wa JAM ana haki ya kwenda kuwekeza na kuajiriwa kokote? Kwa nini wengine wawe na hofu ya kunyang'anywa ardhi na kazi na wa nchi nyengine? Hii ni kwa sababu huyu mmoja amekatazwa asiende kuwekeza au kuajiriwa kule, au hana uwezo wa kuwekeza na elimu ya kumwezesha kuajiriwa?

Yote yote, nahisi iko haja kwa raia na viongozi wa JAM kujipanga upya kabla ya kujenga mnara mawinguni.

Hapo kwenye hiyo red ndio tunasema hatuutaki muungano wa EAC kwa sababu Its one way Traffic, wanatoka kwao wanakuja kwetu na sisi tukienda kwao wanatubagua ndio maana hatuwataki manyang'au kwetu na hakuna hata Mtanzania mwenye kuitaka hii EAC zaidi yako. TO HELL EAC
 
Sizitaki mbichi hizi!! It is true, we don't want you. What are you gonna do now? Bid Tanzania farewell? We can do without neighboring liabilities?

mimi hawa jamaa siwataki na hiyo community yao. Kuna kitu wanakitafuta, our vast arable land! Ndo maana wanakazania ardhi iwe ni ya jumuiya. Kwao hakuna ardhi unaweza kupata kirahisi,wanajua huku wanakijiji wanaweza kufukuzwa kwenye maeneo yao na ardhi akapewa mgeni sababu ya ubovu wa sheria zetu. Waje tufanye nao biashara,wasije kutafuta ardhi yetu
 
the only good thing i like the most about this NEW EAST AFRICA COMMUNITY..we all have our individual countries serious problems but we are fighting to hide them out so that we appear smart and neat to the public.1- kenya....matatizo ya ardhi na ugomvi wa madaraka mpaka the hague2- uganda...museveni is almost a dictator3- rwanda and burundi..ukabila na haki za binadamu4-Tanzania..ufisadi na matumizi mabovu ya rasilimali za nchi kwa maendeleo ya nchi na wananchiHaya matatizo tukiyamaliza nadhani tunaweza kuungana na kuwa na jumuiya nzuriii tuuu...KINYUME CHA HAPO...HATUHITAJI MUUNGANO TUNAOJUA UTAZALISHA MAUAJI MAKUBWA NA MAGOMVI AMBAYO HAYATOWEZA KUTATULIKA.
 
Hapo kwenye hiyo red ndio tunasema hatuutaki muungano wa EAC kwa sababu Its one way Traffic, wanatoka kwao wanakuja kwetu na sisi tukienda kwao wanatubagua ndio maana hatuwataki manyang'au kwetu na hakuna hata Mtanzania mwenye kuitaka hii EAC zaidi yako. TO HELL EAC
Mkuu, ninakubaliana nawe na wale wote wanaosema kuwa "Jumuiya ya Afrika Mashariki" imejengwa zaidi na utashi wa viongozi/wanasiasa bila ya kujali matakwa na hiari ya wananchi.

Kinachonishangaza ni kuwa kwa nini viongozi wetu walikubali kujiingiza haraka haraka bila ya kujali wananchi wanataka nini. Lakini kwa TZ hili sio ajabu kwa sababu "kwa vile wanapata posho" kwao inatosha kuwasaliti na kuwaacha mamilioni ya watu wao.

Hebu tuangalie mfano wa Uingereza ambayo imo katika Jumuiya ya Ulaya lakinimpaka leo hawajajiunga na umoja wa sarafu wala haimo katia nchi za Schengen. Hii ni kwa sababu viongozi wa Uingereza wanawasikiliza wananchi wao wanataka nini wakati viongozi wetu wanasikiliza matumbo yao yanataka nini.
 
Bid TZ kwa heri? You can't do without Tanzania, we are the grain basket of East Africa. We are feeding the whole EAC. You will starve to death without TZ. The only thing that disturbs you is our land, you are salivating for our land. You can go to h…l you land grabbers!
 
EAC is here to stay nyie ant EAC ni makelele tuu humu yanayoongozwa na hali ngumu ya maisha na ****** tuu wa kutoelewa,hasira zenu pelekeni kwa corrupt & uninformed politician wenu wanaouza nchi kwa rushwa,billions of gold zinaondoka kila siku huku mkilipwa maji ya visima na kuachiwa mashimo...EAC will stay na kelele zenu zitapita tuu
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom