ni kweli ilikuwa njia hiyohiyo moja ya China Registration mailAaah hahaha hiyo ni ile China registered Mail boss hapo hata Miezi 2 inaweza gonga
Iko hivi ishu sio Free shipping ishu je Umechangua Standard free shipping au Singapore Shipping unless utangoja mzigo hadi miezi 2.
Umeona sasa Boss huo Vumilia Boss wangu nimeona hapo ngoma Imepitia BEIJING.ni kweli ilikuwa njia hiyohiyo moja ya China Registration mail
Kuna mzigo mwingine nilituma Singapore umefika baada ya siku 18 tu.
haya ngoja nivumilie tu..Umeona sasa Boss huo Vumilia Boss wangu nimeona hapo ngoma Imepitia BEIJING.
[emoji1373][emoji1373][emoji23][emoji23] aisee kua mpole..sio kwa route hizo unazopitia mzgoWakati nanunua kulikuwa na njia moja tu ya free shipping... na status yake kwasasa iko hivi, yaani naona mzigo unazunguka tu hukohuko china
View attachment 1163302
Nimetrack kwa website CAINIAO na haya ndio matokeo
View attachment 1163308View attachment 1163307View attachment 1163306View attachment 1163305View attachment 1163302
Yaaani naona mzigo unaenda Beijing mara umerudi ulikotoka yaàni maruweruwe tu [emoji6][emoji6][emoji6][emoji1373][emoji1373][emoji23][emoji23] aisee kua mpole..sio kwa route hizo unazopitia mzgo
Yaaani naona mzigo unaenda Beijing mara umerudi ulikotoka yaàni maruweruwe tu [emoji6][emoji6][emoji6]
Baada ya siku 85 masaa 15 na sekunde zake 30 hatimaye mzigo umefika mkononi....bahati mbaya niliagiza zingine kwa seller mwingine ndani ya siku 15 nikawa nimezipataHahah daah relax tu mkuu
Utafika sema ndio kwa kusubr
Niuzie hizo bhasi boss...!!Baada ya siku 85 masaa 15 na sekunde zake 30 hatimaye mzigo umefika mkononi....bahati mbaya niliagiza zingine kwa seller mwingine ndani ya siku 15 nikawa nimezipata
Ila hizi mambo zinagonga ayse, ni balaa hizi nilizopokea naziweka kama backup incase kama hizi ninazotumia sasa zikizingua.
View attachment 1217814
Baada ya siku 85 masaa 15 na sekunde zake 30 hatimaye mzigo umefika mkononi....bahati mbaya niliagiza zingine kwa seller mwingine ndani ya siku 15 nikawa nimezipata
Ila hizi mambo zinagonga ayse, ni balaa hizi nilizopokea naziweka kama backup incase kama hizi ninazotumia sasa zikizingua.
View attachment 1217814
Kampuni gani...bei yake vipiBaada ya siku 85 masaa 15 na sekunde zake 30 hatimaye mzigo umefika mkononi....bahati mbaya niliagiza zingine kwa seller mwingine ndani ya siku 15 nikawa nimezipata
Ila hizi mambo zinagonga ayse, ni balaa hizi nilizopokea naziweka kama backup incase kama hizi ninazotumia sasa zikizingua.
View attachment 1217814
Aina gani hizi?Baada ya siku 85 masaa 15 na sekunde zake 30 hatimaye mzigo umefika mkononi....bahati mbaya niliagiza zingine kwa seller mwingine ndani ya siku 15 nikawa nimezipata
Ila hizi mambo zinagonga ayse, ni balaa hizi nilizopokea naziweka kama backup incase kama hizi ninazotumia sasa zikizingua.
View attachment 1217814
Rock ziconAina gani hizi?
huwa zisikubaligi earphone za kudumbukiza aiseeRock ziconView attachment 1217912
kwakweli watu tumatofautiana,mimi ni mpenzi wa earphone ila hizi hapana.huwa zisikubaligi earphone za kudumbukiza aisee
kweli kabisa boss...wengi hizi ndizo wanazotumia ila kwangu hazipandikwakweli watu tumatofautiana,mimi ni mpenzi wa earphone ila hizi hapana.
Hizi siuzi mkuu, unaweza agiza ndani ya siku 15-20 unakuwa umezipata.Niuzie hizo bhasi boss...!!
kweli kabisa boss...wengi hizi ndizo wanazotumia ila kwangu hazipandi
Duuh poleni ayse...mimi huwa napenda earphone zenye mdundo haijalishi zikoje. Kwa Headphone yale makubwa kwangu big no.kwakweli watu tumatofautiana,mimi ni mpenzi wa earphone ila hizi hapana.
hizi mbaya,kuna earphome zinakata na hazisumbui sikio kama hizi.maana hizi ukivaa basi ya nje husikii tena.Duuh poleni ayse...mimi huwa napenda earphone zenye mdundo haijalishi zikoje. Kwa Headphone yale makubwa kwangu big no.
Brand kubwa wanakuwa na earphone zenye mic ya nje hata ukizivaa watu wakiongea unawasikia Ila Bei nazo zinakuwa ndefu.hizi mbaya,kuna earphome zinakata na hazisumbui sikio kama hizi.maana hizi ukivaa basi ya nje husikii tena.