why did tz join in the first place,maana hapa sielewi kwanini ionekane tz inaburuzwa tu..nadhani tz imeshiriki katika kutengeneza protocol sasa iweje ionekane kama inaburuzwa...kwanini haijaangalia maslahi yake wakati wa kuandaa hizo protocol? tz is not competitive whatsoever,ni kama wale watoto wa matajili wa zamani...watoto wa matajiri zamani walikuwa characterized na ukilaza i.e walikuwa vilaza kwa kuwa home mambo safi watarithi mali tu..laikini dunia ya sasa haipo hivo....tunashuhudia matajiri wanalazimisha watoto wao kusoma maana zile mali si zao wanahimizwa watafute za kwao wenyewe....badala ya kuona EAC kama opportunity tunaiona na tunafanywa kuiona kama challenge huu ndo ukilaza ninaousema...ni hatari kwa dunia ya sasa to "think locally and act locally" ....haitatusaidia sana kukaa oooh ardhi yetu ndo wametolea macho,sisi tunategemea nini kutoka kwao?kumbukeni economical development we are not better than kenya,rwanda,uganda...despite the land and everything we own,,,,,ni aibu kuonekana tunalia tunaonewa wakati wao ilibidi ndo waonekane kulia lia....hii ni kwasababu hatuoni manufaa ya soko kwa kuwa hakuna tunachoenda kuuza huko, free movt of labour...are we educated better enough to compete in the eac labour market?ndo maana tunakuwa reluctant kutekeleza makubaliano tuloyafanya wenyewe....ni aibu
Hizi shule mnafaulu vipi kwa akili hizi? Kwa ufupi anasema kwasababu sisi tunayo ardhi kubwa,basi tuitumie kikamilifu,tulime tuzilishe nchi majirani. Kwamba soko la mazao yetu ya kilimo lipo,lakini hatufanyi juhudi ya kulima na kuwauzia wenzetu,tunakalia ooh wanataka ardhi yetu! Akili za kipimbi hizi!
kwanza wewe siyo mtanzania naHizi shule mnafaulu vipi kwa akili hizi? Kwa ufupi anasema kwasababu sisi tunayo ardhi kubwa,basi tuitumie kikamilifu,tulime tuzilishe nchi majirani. Kwamba soko la mazao yetu ya kilimo lipo,lakini hatufanyi juhudi ya kulima na kuwauzia wenzetu,tunakalia ooh wanataka ardhi yetu! Akili za kipimbi hizi!
Kinatekeleza yale tu ambayo yana faida kwake k.m iliruhusu wafanyakazi kutoka nchi nyingine ambapo bado nchi nyingine zinasuasua. Na swala la sarafu imeweka ngumu kabisa. Na EU haijakufa wala Barosso hajaitishia. Ushirikiano kati ya zaidi ya nchi mbili ni multi speed na si uni speed. Tushirikiane yale tu tunayokubaliana nayo na tkubaliane kutofautiana pale tusipoona hayana tija kwetu. Naamini hata hao wanaokwenda speed hawajakubaliana mambo mengine pia!UK inatekeleza makubaliano yote ya EU isipokuwa la common currency. Usiwe mwepesi wa kupindisha ukweli.
Kuna sehemu yoyote kwenye hiyo article umesikia nchi ya rwanda ikisema hayo? Huyu ameongea kama katibu mkuu wa EAC. Na Tanzania ilimpigia kura. Kwa hiyo usitoe povu hapa. Ongea point..
kwanza wewe siyo mtanzania na
wewe ndiyo ignorant kwelikweli hivi huna data kwamba tanzania inanazalisha chakula na mazao ya kutosha na kuuzia nchi jirani zikiwepo za east africa!!!juzi juzi hujasikia kenya inalalamika tz iligoma kuizia mahindi badala yake tukauzia uganda sasa wanaolima hicho chakula ni wahamiaji, tz siyo shamba la kulishia ngombe wenu wa ankole unasikia!!!!
UK inatekeleza makubaliano yote ya EU isipokuwa la common currency. Usiwe mwepesi wa kupindisha ukweli.
Wewe umeshafika?
Ivi mumeo alikuoa kwa lazima?
Sasa sisi tumesema we don't want you na upuuzi wenu go to hell
mkaendelee kuchinjana as usual.
Hata signature yako inaonyesha ulivyo hovyo kweli! Hivi kwel ww ni mtz? I doubt ur nt! Ww ni pandikizi kweli! Nasema haya kwasababu kila mzalendo wa nchi, hua linapokuja suala la interest ya nchi yake, ni sharti aitetee nchi yake kwa dhati kbisa! Au english inakupiga chenga nn p..mba..fu; kwamba hukuelewa alichokisema huyo Sezibera? Unapohoji suala la Rwanda limeingiaje hapo, jiulize aliyetoa haya matamko ni mtu wa wapi, statusz ya nchi yake na TZ kimahusiano kwasasa yapoje na nini kinaendelea hv sasa katika EAC dhidi ya nchi yangu Mama Tanzania? Na je ametolea hayo matamko wapi na mbele ya nani!!
Ukishajijibu hayo maswali, sasa utaona ni kwa vp suala Rwanda limeingizwa katika thread hii...tumia tu japo kaakili kidogo weka pembeni kwa md matumizi ya sembe na ma**s*buri..ili uweze kuelewa wadau tuna maanisha nn!!
Kwa sababu kama hizi za kutudharau mara kwa mara ndio maana safari hii tunawaonyesha kiburi halisi cha Mtanzania--ardhi hatutoi, kuingia kiubwete ndani ya nchi yetu hakuna na zaidi ya hayo, hatutoki katika EAC na kutufukuza hawana ubavu!!
We m.s.e.n.ge kweli. Umeongea pumba nyiiingi hamna point. English yangu kwa taarifa yako wewe na ukoo wako hamuwezi kuifikia hata siku moja. Hivi wewe duwanzi kwa nini hamjiondoi kwenye hii EAC kama mnaona haiwafai! Kuna aliyewashikia bastola kichwani mjiunge? Ondokeni muone kama hamtarudi mnakimbia mkishaona nchi wanachama wanapaa kimaendeleo wakati nyie mkiliwa na hao wachina na wahindi. Li nchi likubwa hata halina ndege ya taifa? Failure state kabisa. Aibu kubwa.
..yaani unatukana matusi makubwa-makubwa namna hii huku umeweka bendera ya nchi yako??!!
..hatutuko ktk EAC, tunasubiri Dr.Sezibera atufukuze.
Sina ugomvi na watanzania. Nampasha huyu f.a.l.a ambae hajui akiongeacho anabwabwaja tu. Na kutokuwa na ndege sio tusi bali ni ukweli halisi. Hivi nikuulize kwa nini na utajiri wenu wote huo mnaojivunia hamna ndege? Naomba unijibu.
Wewe una ndege ipi?
Sina ugomvi na watanzania. Nampasha huyu f.a.l.a ambae hajui akiongeacho anabwabwaja tu. Na kutokuwa na ndege sio tusi bali ni ukweli halisi. Hivi nikuulize kwa nini na utajiri wenu wote huo mnaojivunia hamna ndege? Naomba unijibu.
Sisi (Rwanda) tunazo 7 sasa hivi. Na sio mtumba. Mpyaaaa!!! kutoka kiwandani. Njooni tuwafundishe how to run an airline.
Wewe na nani? Ungejua uko peke yako, ungefunga domo lako. Tulia ungalie sinema ikichezwa. you are a non-player in this game. Wewe tafuta mboga ya nyumbani ukae kimya. Eti "sisi"!!!! Nyambafu
We m.s.e.n.ge kweli. Umeongea pumba nyiiingi hamna point. English yangu kwa taarifa yako wewe na ukoo wako hamuwezi kuifikia hata siku moja. Hivi wewe duwanzi kwa nini hamjiondoi kwenye hii EAC kama mnaona haiwafai! Kuna aliyewashikia bastola kichwani mjiunge? Ondokeni muone kama hamtarudi mnakimbia mkishaona nchi wanachama wanapaa kimaendeleo wakati nyie mkiliwa na hao wachina na wahindi. Li nchi likubwa hata halina ndege ya taifa? Failure state kabisa. Aibu kubwa.