Kwako wewe mtanzania halisi ni Kinana ambaye Ana sura ya kisomal, rangi ya kisomali na hata nywele za kisomali. Ujinga na ubaguzi umekujaa...
Nimegundua mijitu mingi inayopinga integration kwa kisingizio cha ardhi haina haya ardhi robo heka. Mingi ni misela tu inakaa kwenye nyumba ya chumba kimoja Sinza au Mbagala na haina uwezo wa kununua hata robo eka. Sasa huna hata robo eka lakini unadai wakenya watachukua ardhi yetu, yako wewe na nani? Ardhi kwa sasa ni mali ya mtu binafsi au serikali, usijidanganye ardhi ya watanzania wakati Riziwani Kikwete anakaribia kuinunua wilaya yote ya Mvomero
Acha kuwaza kama mbumbumbu,ukongwe wetu ktk EAC unatusaidia nini kama hatuna maamuzi kama nchi nini tunataka ktk ushirikiano wa EAC?
Naamini ukimwuliza JK ama SS ni nini mpango mkakati wa Tanzania ktk EAC ujibiwa majibu ya ajabu kabisa! Sasa badala ya sisi kujadili watawala wetu kwanini wameshindwa,na sisi tunatumbukia ktk kundi la kushindwa!
Nimekua nawaambia watu wa CDM,na hasa Mawaziri kivuli wa sekta husika,hizj ni ndizo fursa muhimu kujitangaza mngekua watawala mgefanya nini Tanzania kufaidika na ushirikiano wa EAC. Juzi juzi hapa Muhongo katoa kauli ya dharau kuhusu uwekezaji wa wazawa ktk sekta ya mafuta na gesi,sikusikia kauli yoyote toka CDM! Mnata Mungu awape nini tena?!
Mkuu kwani jumuia ya afrika mashariki maana yake ni kuwa wananchi wa Kenya na Uganda wanahamia Tanzania na kumiliki ardhi hapa Tanzania. Sheria za Tanzania zinakataza ardhi kumilikiwa na wageni, hadi hapo hiyo sheria itakapofutwa ndio nitapata mashaka kuhusu wao kumiliki. Lakini vitu kama kuondoa vikwazo vya kubiashara na vikwazo vya kusafiri ni mabongolala tu ndio watakao shangilia kwa kuwa hata hizi fursa zilizopo sasa kabla ya jumuia ya afrika mashariki watu hawazitumii zaidi ya kulalamika tu na kukataa jumuia...
Cha ajabu ni kwamba kuna mizungu, miarabu na mihindi kibao inamiliki ardhi ya kufuru hapa Tanzania kinyume cha sheria baada ya kutoa rushwa lakini hakuna mtu anayeongelea, nyie mko busy na wakenya tu. Lazima tupambane na kuwashinda wakenye na sio kuwaogopa, think out of the box
jamani huu sio muungano, tayari watu wanaopinga mawazo ya Tanzania, either waganda au wanyarwanda, hawa wanadhani sisi wajinga bado hatuoni, this people will never, ever intergrate, ni wabinafsi wa kutupa, i will rather live with an apartheid dutchman from south africa, kuliko hawa wanaojiona wako superior, naomba, president kabila naye aje ku recruit askari tanzania , tupambane na hawa ebony racists
Absolutely, Membe, Sitta, JK....riziwani nae ni mtanzania
I have lived in kenya for several years, I have lived with kenyans inside and outside kenya for several years too... Hawa jamaa they will never intergrate. To me this is just an opportunity to boost mombasa port
There is no integration between the tribes let alone the tz.
Kweli sisi waafrika bado tuna safari ndefu. Kwa comments zako hapo juu, sijui kama tutafika
UK inatekeleza makubaliano yote ya EU isipokuwa la common currency. Usiwe mwepesi wa kupindisha ukweli.
Uk si mwanachama wa shengen countries hivyo visa ya shengen haikuwezeshi kuingia uk.UK inatekeleza makubaliano yote ya EU isipokuwa la common currency. Usiwe mwepesi wa kupindisha ukweli.
Ukweli muungano ni mzuri lakini kwa vyovyote usihusishe ardhi. Ruanda ukubwa wa kilimanjaro watu 8m. Unategemea nini?we are thinking to shake with blood hands and leave clean.lets stop Eac issues for our own security. We aren't safe in Eac.
Wala hakuna haja afukuzwe!! Abaki tu. Sisi tuendelee kuwa na msimamo wetu.nngu007 Seriously tunamtaka Waziri Sitta ajenge hoja ya kumkataa huyu jamaa kuendelea kuwa SG wa EAC--openly biased fellow! Mbona Juma Mwapachu hakuwa hivi?
..Tanzania inasubiri nini kumtimua Dr.Seziraba?
..hivi kweli Dr.Seziraba/Rwanda inaweza kuituhumu Tanzania kwamba ktk EAC tunachuma tusichopanda?
..kwani Rwanda wana mchango gani ktk EAC mpaka wawe na kiburi na dharau kiasi hiki kwa Tanzania?
September 23
21:002013
THE EAST AFRICAN COMMUNITY ( EAC) HAS RAISED CONCERNS OVER TANZANIA'S COMMITMENT TO THE REGIONAL INTEGRATION PROCESS.
EAC Secretary General Dr Richard Sezibera hit out at those dilly-dallying over integration process, saying they were missing the point.
Dr Sezibera said Tanzania has faltered on a number of key issues agreed upon by EAC regional States including the liberation of its current accounts and waiving of work permit fees.
"We don't have compelling powers over those countries which seem not to be co-operating with the process of regional integration but the EAC treaty provides for the Secretary-General to take a country that is lagging behind to court. But this is a long process," Sezibera told reporters in Nairobi yesterday.
Long-term goal
"Those still putting barriers to trade and integration are missing the point. We need to integrate much faster," he added.
Sezibera noted that some people were interested in the benefits of regional integration yet they were not ready to participate in achieving its long-term goal."I'm concerned that at the individual and regional level, many actors are interested in plucking the fruits of regional integration rather than growing the tree," he said, adding that the fundamental aim is to have East Africa's prosperity by integrating. Sezibera was speaking on the sidelines of the Second Annual Banking and Research conference organised by the Kenya Bankers Association in Nairobi yesterday.
Tanzania's commitment to regional integration has been under sharp focus since Kenya, Uganda andTanzania agreed to revive the defunct EAC in 1997. Tanzania has been viewed as a reluctant party to the integration process.
It has on several occasions asked for more time to open up its economy to East African counterparts. It is also understood that Tanzania negotiated as a member of the Southern African Development Community, but transferred its allegiance to the EAC after pressure from European Union.Early this month, Presidents Uhuru, Yoweri Museveni of Uganda and Paul Kagame of Rwanda met in Mombasa to discuss cross-border infrastructure projects without Tanzania's input.Similarly, Tanzania and Burundi were conspicuously absent at an earlier meeting in June 2013 by the three presidents; Museveni, Kenyatta and Kagame in Entebbe which was dubbed as EAC's first infrastructure summit.Tanzania's objections to both land purchases and a common EAC passport in 2009 also raised fears over its government's commitment to the regional integration efforts.
By JAMES ANYANZWA, The Standard
.....ni Dr. Richard Sezibera ni Katibu mkuu wa EAC,Tanzania haiwezi kumtimua Dr kwa kuwa yupo kisheria na si mwajiriwa wa serikali ya TZ....
......ana uwezo wa kutuhumu na hata kushitaki mahamani nchi yoyote mwanajumuiya wa EAC pale anapoona haifuati utaratibu
.......Dr sezibera siyo Rwanda...sijajua umetumia nini (kichwa/tumbo)kufikiria na kuandika..."hivi kweli Dr.Seziraba/Rwanda inaweza kuituhumu Tanzania "
.......rwanda wameingiaje katika hizi tuhuma anazotoa katibu mkuu? Chuki zako zinazosababishwa na uelewa mdogo/uvimba macho sidhani kama zinakufanyia haki hata wewe mwenyew maana zinakufanya uonekane mp..umb...avu mbele za watu. mfano Rwanda imeingiaje katika hili?
Kama uk inaweka reservation ktk baadhi ya makubaliano ya EU, kwa faida za wananchi na uchumi wa UK...why tanzania inapofanya hivyo for the benefit of her pple na uchumi wake inakuwa issue...unadhani kenya atakubali itumike sarafu moja in EA....au tunaleteana ujinga hapa....au kunyata anyate kinyonga tu akinyata kicheche mwizi wa kukuUK inatekeleza makubaliano yote ya EU isipokuwa la common currency. Usiwe mwepesi wa kupindisha ukweli.
Kwa mtazamo wako ni kuwa jumuia ya afrika mashariki ni kuchangiana ardhi kama mchango wa harusi au?? Unaposema SISI tuna ardhi unamaanisha nini?? Ina maana hujui kuwa azimio la Zanzibar lilifuta azimio la Arusha na hivyo siasa ya ujamaa na kujitegemea imeishakufa. Hii ardhi tuliyonayo ndio tunayotaka kuitumia kuzalisha na kuuza kwenye hizo nchi ambazo hazina ardhi. Ujima bado umewajaa watanzania, hamjui kwa nini mnahitaji shirikisho na kwa nini hamhitaji.
Mtazamo wangu mimi ni kuwa sisi watanzania tutapata FURSA na kunufaika zaidi kwa kuwa ''SISI TUNA ARDHI'' wao hawana. Tutaitumia hiyo ardhi kuzalisha na kuwauzia majirani zetu, sio tu wa afrika mashariki bali kokote duniani.
among others jamaa waliogma influx ya mafia mob frm ciseros.........duh jamaa noma haoPamoja na immigration. Walikataa one border post Crossing in EU, kwamba ukiingia kwa mfano Italy, unapita bila visa ALL EU countries. Walisema hapana kwani wanafikiri kisiwa chao kingejaa wahamiaji na pia hawakuwaamini nchi nyingine zinasimamia vilivyo mipaka yao.
FYI kuna watz wachache sana, au kua mkweli zaidi, ktk EA kuna wachache sana wanaonizidi ilmu dunia, alhamdullilah, and from your tactless writings you seem not to be one of them. Hilo la kwanza.Mlikimbia shule sasa mnakosa mbinu za kuyashinda mazingira yenu. Sasa mimi mbongo halisi, nchi yangu ina kila kitu, kuanzia madini, mbuga za wanyama za hali ya juu, mlima mrefu kuliko yote afrika, uwanda mpana zaidi wa bandari, kuna maziwa makubwa kabisa afrika, kuna BEACH za kufa mtu,,,, halafu wewe kula kulala unaniambia nihamie Rwanda ambako hawana chochote badala ya kunihamasisha kupiga kazi kwa bidii kuhakikisha kuwa natumia rasilimali za nchi yangu kuhakikisha kuwa hao majirani wanakunywa, kula, kuvaa na kulala kwenye bidhaa za Tanzania. Kweli ujinga uko kwa mtoto mdogo, lakini kiboko kitauondoa. Hii nchi ilipofikia inahitaji viboko tu ndio itaendelea. Lazy but knows it all attitude inaua hii nchi, tupambane, Marekani iko pale ilipo kwa sababu ya kupambana, sio kucheka cheka kama Kikwete