E-News Kipindi bora cha Luninga

E-News Kipindi bora cha Luninga

Watu mnaanzisha katopic ka kijipa promo afu mnapeana comment ninyi wenyewe...ahahaa

kuwa muwazi labda ulitaka isifiwe TV ipi ya burudani ? clouds TV ? hao kila dakika 5 tangazo la tunakufungulia dunia tunakufungulia dunia....wanaboa kwakweli
 
Ni kweli kipindi kiko poa. Wasibweteke na management waboreshe maslahi sio kila kukicha watangazaji wanahamia vituo vingine tena hapahapa Tz afadhali hata ingekuwa MTV, CNN na jamaa zao.
 
Ukweli ni kwamba pamoja na hayo hawa jamaa huwa hawateteleki wanajua kutumia mtu yeyote akawa ana uwezo wa kutangaza na kumanage vipindi.
 
ila nivarna wamechemka na lile limiss.....Mzee wa Fashoooon pengo halizibikiiii btw E news kinatisha tuache utani..hata akitoka sam misago bado kitabakia kuwa kipind bora maana segments na contents zimeshiba ...mtu una concentrate kuangalia news sio mtangazaji na hiki ndio tv nyingi za kibongo zinapokosea......contents ni muhmu sanaaaaa...... E news msisahau inadhaminiwa na the new TTCL..... T. Tumefanikishaaaaaaaaaaaa
 
Chechee mi ndo segiment nayoo izimaa hawa jamaa wanaendaga kitaani kwa msanii wana wahoji jamii iliyo mzunguka le supa star..
 
ila nivarna wamechemka na lile limiss.....Mzee wa Fashoooon pengo halizibikiiii btw E news kinatisha tuache utani..hata akitoka sam misago bado kitabakia kuwa kipind bora maana segments na contents zimeshiba ...mtu una concentrate kuangalia news sio mtangazaji na hiki ndio tv nyingi za kibongo zinapokosea......contents ni muhmu sanaaaaa...... E news msisahau inadhaminiwa na the new TTCL..... T. Tumefanikishaaaaaaaaaaaa
Umeelezea vizuri
 
kuwa muwazi labda ulitaka isifiwe TV ipi ya burudani ? clouds TV ? hao kila dakika 5 tangazo la tunakufungulia dunia tunakufungulia dunia....wanaboa kwakweli

Na kaja kufata nini kama haimuusu. Si akafungue yake. Watu wengine bana
 
Kipindi kimedhaminiwa na TTCL! Generation T Solved
 
Tafuta kiingamuzi cha startimes kwajili ya local channels tu unakuwa ulipie wala nn me ndicho nilichofanya nalipia dstv tu startimes nacheki za kibongo tu
Mambo yakuhamisha vingamuzi nayo yanaboa.. switch to dstv mara switch to Startimes. Eatv wakiweza kuiweka kwenye dstv 2 wamemaliza kazi.
 
Sure yanaboa kwan ili channel ingie dstv n dstv wanakufata au ww mwenye channel ndo unawafata dstv?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom