Aaah wewe, unamaanisha zero zero au sare?Yanga na mtibwa jana wametoka bashite bashite uko morogoro
No shortcutHapa kinachotakiwa ni vyeti vya vidato na vyuo tu na si kitu kingine. Forgery ni criminal case!!! Kuna mtumishi mmoja alisomea cheti cha form six cha mtu na ukweli mwezi machi alikuwa wa kwanza kufukuzwa kazi. Imagine alisoma mpaka masters na cheti cha form six cha jamaa japo aliweze kubadili jina kabla ya kumaliza chuo na kurejea jina lake. Kwa misingi hii sasa tunataka haki itendeke. Arudi shule akasome QT na akifaulu levels zote aende chuo. Hakuna namna.
Ha h ha h ha bashiteYanga na mtibwa jana wametoka bashite bashite uko morogoro
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbusha mbali sanaFighting For Food For Four years
Ha ha ha, mashine ya kukoboa na kusaga, ukiweka miguu yako inatoka sembeHa ha ha ha
Inakupotezaaaa
hahaha hii sampuli haichezewi
Hivyo vita anavyopigana wameshindwa watu we nye akili timamu itakuwa yeye bashite anaandika majina ya wauza unga na mkono halafu unamteteaHuyu Mh Paul Makonda ambaye ni Rais wa mkoa wa Dar Es Salaam kwa kweli hapo mwanzo sikuwa namkubali kabisa hasa wakati anapewa ukuu wa mkoa, kutokana na zile story za kumpiga mzee Warioba, ila tokea aanze utendaje kama mkuu wa mkoa nikajikuta nampenda sana kutokana na utendaji wake, ila watu walipoanza kumchafua na kumpiga mawe kutokana na vita ya madawa ya kulevya automatically nimejikuta mapenzi yanazidi kwake, coz kwa mtu yoyote mwenye akili timamu na mwenye fikra basi lazima atajiuliza kwa nini watu wanamshambulia that much, hata mtu aliyeua hashambuliwi hivi, nikatumia akili zangu nyingi kutafakari na kugundua kuwa wanaompinga wote wana maslahi either kwenye madawa ya kulevya ama ushoga ama ukahaba, I love you Makonda na naihofia sana Dar Es Salaam bila Makonda, Go go go Makonda we got your Back