GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,700
- 14,639
MKUU hebu onesha ubovu wa kiingereza hiki cha jamaa. onesha makosa yake katika hata sentensi tano halafu andika kwa usahihi wake. please nakuomba ili watu wasije wakakuona nawe hujui ila inafuata tu mkumbo. wahakikishie kuwa unakijua kiingereza onesha ubovu wa kiingereza cha huyu jamaa na weka usahihi wake. nakusihi sana.
Upuuzi. Kiingereza kibovu.. unadhani Wajeruman watasoma wakuonee huruma? Si kweli yote ya DW au unadhani wao wanampapatikia kiwehu kama wewe?