Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,958
DW, CNN & BBC VS Trump
DW, CNN & VS JPM
DW, CNN & VS JPM
Kwenye hiyo post umeona mwaka tu? Watu tunaandika kwa mbinu ya kupunguza maumivu we unadhani tumekosea!!!Jifunze kuedit taarifa yako Kabla ya kupost, 1915 hata babako alikuwa bado kuzaliwa.
utasemaje kitu ambacho ukisikilizi?????????????Ni kazi yako kuonesha hivyo...by the way ni mara ngapi TBC imesemwa humu?
Just provided one issue / topic / agenda which was misreported by DWGo google my friend...I can not attach all news from DW.
Stop being lazy...go and read the articles from DW about President Magufuli and come back with a single article which is positive.
Mtu kajiita Jingalao, unategemea nini?Nimeona huu mfananisho nikaona huyu jingalao hata kama kuna posho kapewa kuandika bora wazichukue
Holy crap from jinga lao and Lumumba team. They want all people to think alike and see the devil as an angel.Thisi is my opinion concerning the news covarage of DW TV or Radio and its allies in EAC on The President of United Republic Of Tanzania.
Since the 2015 election in Tanzania DW and allied news outlets have been against the president John Pombe Magufuli without a clear reason.
It is a clear fact ,basing on all news articles since 2015 election campaigns and onwards this media(DW) has never been positive to Magufuli.
All the news from DW since election campaigns were against Magufuli and now they are aggressively smearing Magufuli's presidency.
Iam not sure if this is just a professional work from DW journalists or a work of one person/interested party ?
What Iam trying to warn and address is a fact that a good and trusted media like DW should not be involved in Tanzania politics in a biased and provocative way.
DW and German goverment has since been in a good faith to Tanzania and her goverment.
German Goverment through their Embassy/envoy and representation to Tanzania had officially asked Tanzania and therefore Tanzanian president's support to vote for German in permanent UN SECURITY COUNCIL MEMBERSHIP....
We as Tanzanians will never forget and forgive the ruthlessness of German's governance in Tanzania.
We as the elder citizens of Tanzania will never forget the brutality of Germans in the villages of Tanzania!
Today if you mention about dictatorship ..you are just remind us of A Great dictator in the world...HITLER!!
Is Magufuli a bulldozer than Adolph Hitler?
Samahani kwa kingereza kibovu lakini ni lazima tuwaambie hii redio ya wakoloni wetu kuwa upuuzi wao umefika mwisho.
Hujaona tweets za Trump dhidi ya CNN?Media zote kubwa zinakimbizana na Trump hadi inafika wakati mtu unaogopa jinsi wanavyo mchafua Trump na Trump anao uwezo wa kuvifungia hivyo vituo lakini hana mda navyo yy anachanja mbuga tu na Marekani yake
Ujanja ni kuwaacha watu waonge wakukosoe ili mradi tu wasilete machafuko na fujo ndani ya nchi yako,
Kim katengwa na dunia lakini anachanja mbuga tu hana time na mtu, lakini hapa kwetu serikali inasimamisha shughuli zake wanapambana na mtu Mage Kimambi
Well said mkuu [emoji122]Wewe unaleta habari za Hitler, Hitler anatuhusu nini sisi Watanzania?. Wajerumani wengi wa leo hawazipendi sera za Hitler
Nimeona unazungumzia madhila waliyotufanyia Wajerumani, ni matumaini yangu badala ya kuishia kulaumu wajerumani ni bora uitake Serikali ya Tanzania ikusanye ushahidi Ikashitaki kwenye mahakama za kimataifa tulipwe fidia. Otherwise hizi siasa za manyanyaso ya kikoloni unazoleta zilifanywa enzi hizo tunadai uhuru, zimeshapitwa na wakati!
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Hiyo Dr ni halisia au ni ile ya akina Majimarefu? Au ni zile Dr za nyufa za mabweni ya chuo?
Very poor argument! Ni mali gani Wajerumani walificha Tanganyika? Au na wewe ni kati ya wale wanaoshinda wanafukua survey reference points zilizowekwa kwenye milima na Waingereza na Wajerumani, wakisema chini kuna madini yamefichwa?
Huyu kaandika kama lugha ya picha fulani, soma vizuri hiyo post yake.Jifunze kuedit taarifa yako Kabla ya kupost, 1915 hata babako alikuwa bado kuzaliwa.
Usisahau maana ya jinga lao. Nikitafisiri "the core of ignorance and stupidity"I tried to let this go but I'll swallow my reticence and respond:
1. Your opinion cannot be a universal fact. Therefore the premises of your "facts" are already flawed. I won't even mention the lack of the said "allies" and "all their articles".
2. If you believe that what they're writing is inaccurate, false, without public taste or otherwise illegal/unethical, you have every right to report them accordingly. Otherwise, you can be sued for defamation.
3. DW is a public international organ but not the German government or it's people. It's an independent media -- maybe you may not comprehend?
4. No independent media is there to do PR for you. It is a fact that it's not just President Magufuli who is being criticized, numerous world leaders have been and are being criticized and yet they either ignore, respond factually but do not throw tantrums.
We want to be recognised internationally; criticism is part of the package. So either buckle up and trudge on or step out and leave the lime light.
Ni hayo tu kwa leo.
Wajibu DW kwa hoja siyo kwa kashfa. Kama wanasema uongo eleza ukweli. Ila kwa vile ni jangalao tunashuhudia vioja na vya kutoka kwa Lumumba b7 wakikugongea likes..For three years hoja yao ni Magufuli kuwa mbaya tu?
Kuna kashfa yoyote hapo?Wajibu DW kwa hoja siyo kwa kashfa. Kama wanasema uongo eleza ukweli. Ila kwa vile ni jangalao tunashuhudia vioja na vyakotoka kwa Lumumba b7 wakikugongea likes..
I enjoy reading between the legsKuna kashfa yoyote hapo?
Read between the lines utakutana na hoja nzito sana katikati ya mistari ya JINGALAO
Positive ni nini?Go google my friend...I can not attach all news from DW.
Stop being lazy...go and read the articles from DW about President Magufuli and come back with a single article which is positive.