DVT ndio Ugonjwa uliosababisha Kifo cha Denis Busulwa "Ssebo"

Mtoa Taarifa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2024
Posts
230
Reaction score
791
Uchunguzi wa madaktari umeonyesha kuwa marehemu Denis Busulwa (Ssebo), aliyekuwa Mkurugenzi wa Uendeshaji na Biashara wa EFM na TVE, alifariki dunia kutokana na ugonjwa wa Deep Vein Thrombosis (DVT) au kwa Kiswahili "Kuganda kwa Damu katika Mishipa ya Ndani." mara nyingi kuanzia Miguuni.
1773517353642.png

DVT NI NINI?

DVT ni hali ya kimatibabu ambapo damu huganda na kutengeneza mifuko katika mishipa ya ndani ya mwili, hasa katika miguu, paja au nyonga. Hali hii ni hatari kwa sababu mifuko hiyo ya damu inaweza:
  • Kuzuia mtiririko wa damu mwilini
  • Kusafiri na kufika kwenye mapafu na kusababisha kifo cha ghafla

Taarifa ya Dkt. Sebastian Ndege Jembe ni Jembe imeeleza kwa uchache hali aliyokuwa nayo Ssebo.

DALILI ZA KUANGALIA:
  • Kuvimba kwa mguu mmoja
  • Maumivu ya kudumu kwenye mguu (kama kramu)
  • Mabadiliko ya rangi ya ngozi (kuwa nyekundu au buluu)
  • Kujisikia joto la juu kwenye sehemu iliyovimba

SABABU KUU:
  • Kutotembea kwa muda mrefu (kusafiri au kulala kitandani)
  • Baada ya upasuaji
  • Magonjwa kama saratani au shinikizo la damu
  • Unene na kuvuta sigara

>>>>>>>>>>>>>

Deep vein thrombosis (DVT) is a medical condition that occurs when a blood clot (thrombus) forms in a vein deep inside the body. While it can happen in any deep vein, it most commonly develops in the lower leg, thigh, or pelvis.

DVT is a serious condition because the clot can partially or completely block blood flow. If a piece of the clot breaks free, it can travel through the bloodstream and lodge in the lungs, causing a life-threatening pulmonary embolism (PE). Together, DVT and PE are referred to as venous thromboembolism (VTE).

Common Symptoms
Many people with DVT have no symptoms at all, but when they do occur, they typically affect only one side of the body. Warning signs include:

  • Swelling in the affected leg or arm.
  • Pain or tenderness, often described as a heavy ache or a cramp that starts in the calf.
  • Red or discolored skin on the affected limb.
  • Warmth in the skin of the affected area.

Primary Causes and Risk Factors
Clots often form when blood flow slows down or if a vein is damaged. Key risk factors include:

  • Immobility: Long periods of sitting (such as during travel) or bed rest after surgery or illness.
  • Surgery or Injury: Trauma to the veins, especially during hip or knee surgery.
  • Medical Conditions: Cancer, heart failure, and inflammatory diseases.
  • Hormonal Factors: Pregnancy, birth control pills, or hormone replacement therapy.
  • Lifestyle & Genetics: Obesity, smoking, and inherited blood-clotting disorders.

Diagnosis and Treatment
Doctors typically diagnose DVT using a physical exam, a D-dimer blood test, and a vascular ultrasound to visualize blood flow.
Treatment aims to prevent the clot from growing or breaking loose. Standard options include:

  • Anticoagulants (Blood Thinners): The most common treatment to prevent new clots.
  • Compression Stockings: To reduce swelling and prevent long-term complications.
  • Procedures: In rare or severe cases, doctors may use thrombolytics (clot-busting drugs) or insert a vena cava filter to catch clots before they reach the lungs.

Important: If you experience sudden shortness of breath or chest pain, seek emergency medical help immediately, as these are signs of a pulmonary embolism.
Are you or someone you know currently experiencing any unexplained leg swelling or pain?
 
Nazidi kuuona umuhimu wa kufanya mazoezi.

RIP Ssebo,nilikuwa nakufuatilia sana kipindi upo EA Radio miaka ya 2012 kwenye kipindi chako cha asubuhi nimeacha kusikiliza FM radio muda kidogo sikujua bado upo bongo mpaka niliposoma habari za kifo chako.
 
Uchunguzi wa madaktari umeonyesha kuwa marehemu Denis Busulwa (Ssebo), aliyekuwa Mkurugenzi wa Uendeshaji na Biashara wa EFM na TVE, alifariki dunia kutokana na ugonjwa wa Deep Vein Thrombosis (DVT) au kwa Kiswahili "Kuganda kwa Damu katika Mishipa ya Ndani." mara nyingi kuanzia Miguuni.
View attachment 3558023

View attachment 3558022

Itakuwa presha na kisukari.
 
Nazidi kuuona umuhimu wa kufanya mazoezi.

RIP Ssebo,nilikuwa nakufuatilia sana kipindi upo EA Radio miaka ya 2012 kwenye kipindi chako cha asubuhi nimeacha kusikiliza FM radio muda kidogo sikujua bado upo bongo mpaka niliposoma habari za kifo chako.
Aah wapi. Unamjua Damian Lilard au Victor Wembanyama? Hao ni NBA stars walishapata hilo tstizo. Kuna premier league player alipata pia simkumbuki jina. Cha kuomba ikikutokea ijulikane mapema la sivyo hicho ki clot kinatembea na damu mpaka kwenye moyo,mapafu au ubongo mwisho wake kinaziba mishipa ya damu.
 
Kabisa yakikukuta yamekukuta!
Ila kuna wengine wakigundua damu zao zinaganda utawakuta wanameza baby aspirin(ascard)
Mwili wa mwanadam complication zikianza huwa ni shida

Ova
 
Sasa badala ya kumkimbiza ER ndo wamfanyie maombi mfululizo? Tunapoteza nguvukazi kizembe sana kwa kweli, sasa huyu msomi mwenye access ya information na anayeishi mikocheni ana access na hospitali kubwa zote za nchi wakaona maombi ndio huduma ya kwanza?
 
Uchunguzi wa madaktari umeonyesha kuwa marehemu Denis Busulwa (Ssebo), aliyekuwa Mkurugenzi wa Uendeshaji na Biashara wa EFM na TVE, alifariki dunia kutokana na ugonjwa wa Deep Vein Thrombosis (DVT) au kwa Kiswahili "Kuganda kwa Damu katika Mishipa ya Ndani." mara nyingi kuanzia Miguuni.
View attachment 3558023

DVT NI NINI?

DVT ni hali ya kimatibabu ambapo damu huganda na kutengeneza mifuko katika mishipa ya ndani ya mwili, hasa katika miguu, paja au nyonga. Hali hii ni hatari kwa sababu mifuko hiyo ya damu inaweza:
  • Kuzuia mtiririko wa damu mwilini
  • Kusafiri na kufika kwenye mapafu na kusababisha kifo cha ghafla

Taarifa ya Dkt. Sebastian Ndege Jembe ni Jembe imeeleza kwa uchache hali aliyokuwa nayo Ssebo.

View attachment 3558022

DALILI ZA KUANGALIA:
  • Kuvimba kwa mguu mmoja
  • Maumivu ya kudumu kwenye mguu (kama kramu)
  • Mabadiliko ya rangi ya ngozi (kuwa nyekundu au buluu)
  • Kujisikia joto la juu kwenye sehemu iliyovimba

SABABU KUU:
  • Kutotembea kwa muda mrefu (kusafiri au kulala kitandani)
  • Baada ya upasuaji
  • Magonjwa kama saratani au shinikizo la damu
  • Unene na kuvuta sigara

Deep vein thrombosis (DVT) is a medical condition that occurs when a blood clot (thrombus) forms in a vein deep inside the body. While it can happen in any deep vein, it most commonly develops in the lower leg, thigh, or pelvis.

DVT is a serious condition because the clot can partially or completely block blood flow. If a piece of the clot breaks free, it can travel through the bloodstream and lodge in the lungs, causing a life-threatening pulmonary embolism (PE). Together, DVT and PE are referred to as venous thromboembolism (VTE).

Common Symptoms
Many people with DVT have no symptoms at all, but when they do occur, they typically affect only one side of the body. Warning signs include:

  • Swelling in the affected leg or arm.
  • Pain or tenderness, often described as a heavy ache or a cramp that starts in the calf.
  • Red or discolored skin on the affected limb.
  • Warmth in the skin of the affected area.

Primary Causes and Risk Factors
Clots often form when blood flow slows down or if a vein is damaged. Key risk factors include:

  • Immobility: Long periods of sitting (such as during travel) or bed rest after surgery or illness.
  • Surgery or Injury: Trauma to the veins, especially during hip or knee surgery.
  • Medical Conditions: Cancer, heart failure, and inflammatory diseases.
  • Hormonal Factors: Pregnancy, birth control pills, or hormone replacement therapy.
  • Lifestyle & Genetics: Obesity, smoking, and inherited blood-clotting disorders.

Diagnosis and Treatment
Doctors typically diagnose DVT using a physical exam, a D-dimer blood test, and a vascular ultrasound to visualize blood flow.
Treatment aims to prevent the clot from growing or breaking loose. Standard options include:

  • Anticoagulants (Blood Thinners): The most common treatment to prevent new clots.
  • Compression Stockings: To reduce swelling and prevent long-term complications.
  • Procedures: In rare or severe cases, doctors may use thrombolytics (clot-busting drugs) or insert a vena cava filter to catch clots before they reach the lungs.

Important: If you experience sudden shortness of breath or chest pain, seek emergency medical help immediately, as these are signs of a pulmonary embolism.
Are you or someone you know currently experiencing any unexplained leg swelling or pain?
Madaktari wa Bongo hata sio wakuwaamini sana,ukute kafa kwa ishu nyingine kabisa
 
Sasa badala ya kumkimbiza ER ndo wamfanyie maombi mfululizo? Tunapoteza nguvukazi kizembe sana kwa kweli, sasa huyu msomi mwenye access ya information na anayeishi mikocheni ana access na hospitali kuwa zote za nchi wakaona maombi ndio huduma ya kwanza?
Kumbe walimpeleka kwenye maombi uchwara.. aisee hizi dini hizi!!
 
Yeah kuna clip inazunguka dereva wake anasema yeye ni mchungaji na alipoitwa kusaidia badala ya kumrush ER akapiga gombo na maombi hadi mkubwa akazimika (peacefully)! Sadly TMJ na zingine zipo jirani tu hapo na kuna dawa nzuri tu za emergency inapotokea DVT, ndio jamii yetu ilipofikia, kama makamu wa rais anasema tusolve matatizo ya nchi kwa kuiombea then madereva wafanyaje? Bora hata mkubwa angeita ambulance japo ni gharama kuliko dereva takataka kama hii

Angalau wakati nakua Mwl Nyerere alikua anapiga vita ujinga na maradhi katika kila hotuba yake, tulikua tunasikiliza ujumbe wa leo kila baada ya taarifa ya habari ya saa 2 jioni RTD tukiwa vijana, na sijawahi hata kusikia mzee akisema tuombee chochote!
 
Yeah kuna clip inazunguka dereva wake anasema yeye ni mchungaji na alipoitwa kusaidia akapiga gombo na maombi hadi mkubwa akazimika (peacefully)! Sadly TMJ na zingine zipo jirani tu hapo na kuna dawa nzuri tu za emergency inapotokea DVT, ndio jamii yetu ilipofikia, kama makamu wa rais anasema tusolve matatizo ya nchi kwa kuiombea then madereva wafanyaje?

Angalau wakati nakua Mwl Nyerere alikua anapiga vita ujinga na maradhi katika kila hotuba yake, tulikua tunasikiliza ujumbe wa leo kila bada ya taarifa ya habari tukiwa vijana, na sijawahi hata kusikia mzee akisema tuombee chochote!
Dunia imevamiwa na walokole uchwara
 
Sasa badala ya kumkimbiza ER ndo wamfanyie maombi mfululizo? Tunapoteza nguvukazi kizembe sana kwa kweli, sasa huyu msomi mwenye access ya information na anayeishi mikocheni ana access na hospitali kubwa zote za nchi wakaona maombi ndio huduma ya kwanza?
Ni siku za mtu tu zikifika hapo unakuta ni watu wameuguza mpaka wakawa hawajui waende wapi!

Jumanne wiki hii huko Mbezi beach nilihudhuria msiba wa kibosile alitoka matibabu Japan jumatano akalala kwake alhamisi asubuhi homa ikaamka akaenda kufia pale Rabinsina Tegeta.
 
Back
Top Bottom