DVT ndio Ugonjwa uliosababisha Kifo cha Denis Busulwa "Ssebo"

DVT ndio Ugonjwa uliosababisha Kifo cha Denis Busulwa "Ssebo"

Ni siku za mtu tu zikifika hapo unakuta ni watu wameuguza mpaka wakawa hawajui waende wapi!

Jumanne wiki hii huko Mbezi beach nilihudhuria msiba wa kibosile alitoka matibabu Japan jumatano akalala kwake alhamisi asubuhi homa ikaamka akaenda kufia pale Rabinsina Tegeta.

Ahsante kwa mchango wako ila hii concept ipo Afrika tu kujustify uzembe wetu wa asili, I don't buy it sorry
 
Madaktari wa Bongo hata sio wakuwaamini sana,ukute kafa kwa ishu nyingine kabisa
Mbona unatushambulia hivyo? 😀
So, madaktari wa wapi ndo wa kuwaamini?

Najua utasema wa China, India, UK, Cuba, US, etc.
Na swali langu litakuwa, Je huko hakuna vifo wala misdiagnosis?

#justKidding #joking

Hata hivyo ipo tofauti kubwa kati ya developing na developed countries karibia kwenye fields zote kuanzia Finance, Economy, Medicine, pharmaceutical industry, Engineering & Manufacturing, Military, education, agriculture, Mining, ICT, Politics, entertainment & sports, etc.

roughly coz sisi bado tupo na imani potofu nyingi mno, poor mentality, poor governance, poor science & technology.

ila pamoja na yote hayo, TZ tupo good kwa Medicine, Usiibeze hivo nchi yako.
 
Mbona unatushambulia hivyo? 😀
So, madaktari wa wapi ndo wa kuwaamini?

Najua utasema wa China, India, UK, Cuba, US, etc.
Na swali langu litakuwa, Je huko hakuna vifo wala misdiagnosis?

#justKidding #joking

Hata hivyo ipo tofauti kubwa kati ya developing na developed countries karib kwenye fields zote iwe ni finance, economy, medicine, engineering & manufacturing, military, education, agriculture, mining, ICT, politics, entertainment & sports, etc.

roughly coz sisi bado tupo na imani potofu nyingi mno, poor mentality na poor governance, na wao wamejaa science & technology, strong mentality na good governance.
Umeongea kisomi na kwa hekima....ndugu yetu mwaka mmoja (Mungu amrehemu) ilitakiwa afanyiwe upasuaji wa mguu,wakampasua kichwa pale National hospital
 
Umeongea kisomi na kwa hekima....ndugu yetu mwaka mmoja (Mungu amrehemu) ilitakiwa afanyiwe upasuaji wa mguu,wakampasua kichwa pale National hospital
🥲 yeah ndo hivo, inauma sana.

ila sometimes hata na ughaibuni pia inaweza kutokea mistakes wakati wa matibabu. Ukipita online kusearch najua utajionea.
👇🏽 Mfano, angalia hii, ni USA huko.

https://www.cnbc.com/2018/02/22/medical-errors-third-leading-cause-of-death-in-america.html

Anyway, sihalalishi hii tabia, ila penye uzembe pakibainika, na mgonjwa akilalamika katika mamlaka husika, huwa panashughulikiwa
 
kila kazi ipo na taratibu zake, na ikitokea tatizo au kifo mfano hospitalini, na ikaonekana kuna element za uzembe.

Hatua za kinidhamu huwa znafatwa mbona baada ya vikao na uchunguzi kufanyika.
Labda vikao vya chai.

Ukitaka shida nchi hii nenda katibiwe hospital za serikali,nyie hamchelewi kumsababishia mgonjwa tatizo lingine la ugonjwa ili mpate hela.
 
Uchunguzi wa madaktari umeonyesha kuwa marehemu Denis Busulwa (Ssebo), aliyekuwa Mkurugenzi wa Uendeshaji na Biashara wa EFM na TVE, alifariki dunia kutokana na ugonjwa wa Deep Vein Thrombosis (DVT) au kwa Kiswahili "Kuganda kwa Damu katika Mishipa ya Ndani." mara nyingi kuanzia Miguuni.
View attachment 3558023

DVT NI NINI?

DVT ni hali ya kimatibabu ambapo damu huganda na kutengeneza mifuko katika mishipa ya ndani ya mwili, hasa katika miguu, paja au nyonga. Hali hii ni hatari kwa sababu mifuko hiyo ya damu inaweza:
  • Kuzuia mtiririko wa damu mwilini
  • Kusafiri na kufika kwenye mapafu na kusababisha kifo cha ghafla

Taarifa ya Dkt. Sebastian Ndege Jembe ni Jembe imeeleza kwa uchache hali aliyokuwa nayo Ssebo.

View attachment 3558022

DALILI ZA KUANGALIA:
  • Kuvimba kwa mguu mmoja
  • Maumivu ya kudumu kwenye mguu (kama kramu)
  • Mabadiliko ya rangi ya ngozi (kuwa nyekundu au buluu)
  • Kujisikia joto la juu kwenye sehemu iliyovimba

SABABU KUU:
  • Kutotembea kwa muda mrefu (kusafiri au kulala kitandani)
  • Baada ya upasuaji
  • Magonjwa kama saratani au shinikizo la damu
  • Unene na kuvuta sigara



Deep vein thrombosis (DVT) is a medical condition that occurs when a blood clot (thrombus) forms in a vein deep inside the body. While it can happen in any deep vein, it most commonly develops in the lower leg, thigh, or pelvis.

DVT is a serious condition because the clot can partially or completely block blood flow. If a piece of the clot breaks free, it can travel through the bloodstream and lodge in the lungs, causing a life-threatening pulmonary embolism (PE). Together, DVT and PE are referred to as venous thromboembolism (VTE).

Common Symptoms
Many people with DVT have no symptoms at all, but when they do occur, they typically affect only one side of the body. Warning signs include:

  • Swelling in the affected leg or arm.
  • Pain or tenderness, often described as a heavy ache or a cramp that starts in the calf.
  • Red or discolored skin on the affected limb.
  • Warmth in the skin of the affected area.

Primary Causes and Risk Factors
Clots often form when blood flow slows down or if a vein is damaged. Key risk factors include:

  • Immobility: Long periods of sitting (such as during travel) or bed rest after surgery or illness.
  • Surgery or Injury: Trauma to the veins, especially during hip or knee surgery.
  • Medical Conditions: Cancer, heart failure, and inflammatory diseases.
  • Hormonal Factors: Pregnancy, birth control pills, or hormone replacement therapy.
  • Lifestyle & Genetics: Obesity, smoking, and inherited blood-clotting disorders.

Diagnosis and Treatment
Doctors typically diagnose DVT using a physical exam, a D-dimer blood test, and a vascular ultrasound to visualize blood flow.
Treatment aims to prevent the clot from growing or breaking loose. Standard options include:

  • Anticoagulants (Blood Thinners): The most common treatment to prevent new clots.
  • Compression Stockings: To reduce swelling and prevent long-term complications.
  • Procedures: In rare or severe cases, doctors may use thrombolytics (clot-busting drugs) or insert a vena cava filter to catch clots before they reach the lungs.

Important: If you experience sudden shortness of breath or chest pain, seek emergency medical help immediately, as these are signs of a pulmonary embolism.
Are you or someone you know currently experiencing any unexplained leg swelling or pain?
Hamna sababu ya kinywaji
 
Diagnosis za bongo 90% ni uongo
S72603151823332.png
https://www.cnbc.com/2018/02/22/medical-errors-third-leading-cause-of-death-in-america.html
 
Kuna jamaa jiran toka t a r 1 Jan yuko icu Feb yumo aongeiageuki na bado wakonae March ndugu wakaomba watoe mashine dah kumbr kaisha sikunyingi tu jamaa wanaakavuta mpunga wao kama mili 10

Imeishahio
 
Back
Top Bottom