TabletFellow
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 918
- 274
Uchaga umeanzia hapa, kwakuwa Freeman Aikael Mbowe ni mchaga ndio amekamatwa naomba nafasi ya kuuza DVD nipewe mimi mchaga mwenzake, hapo ubaya upo wapi meku?
Hakuna mchaga mjnga kama wewe, usijifagilie hapa eti mi mchaga mwenzenu! To hell na hayo mawazo yako ya kijinga!Uchaga umeanzia hapa, kwakuwa Freeman Aikael Mbowe ni mchaga ndio amekamatwa naomba nafasi ya kuuza DVD nipewe mimi mchaga mwenzake, hapo ubaya upo wapi meku?
Kwani umeambiwa dili watu wanapewa kwa uchaga? Acha uhuni wako.Sawa, na mimi mchaga mwenzenu jamani nipeni dili.
Sawa, na mimi mchaga mwenzenu jamani nipeni dili.
Nakupa dili sasa chali yangu ushindwe mwenyewe, tengeneza bonge lo documentary la jinsi CCM ilivyojivua magamba kisha kikao kijacho cha NEC una hack information za kikao hicho hususani mahojiano na mapacha watatu utakuwa umeuaga umaskini.Kuna kila dalili kesho kutatokea umwagaji damu hapa Arusha, naomba viongozi wa CDM wanipe mimi dili la kutengeneza DVD ya matukio ya kesho ili na mimi nijikwamue kutoka ktk wimbi la unasikini nilililoletewa na CCM. Peopleeeees Power!!
Nakupa dili sasa chali yangu ushindwe mwenyewe, tengeneza bonge lo documentary la jinsi CCM ilivyojivua magamba kisha kikao kijacho cha NEC una hack information za kikao hicho hususani mahojiano na mapacha watatu utakuwa umeuaga umaskini.
Uchaga umechaukana tayari unauzungumzia ukristo! Duuuh mjepu punguza bwebwe wewe ni fisadi nini huoni nchi inavyokwenda Mrama? Polisi wana siku kama kumi tu za kuwalinda, siku ikisomwa bajeti yao wakajua wameacha solemba ndipo utapojua maharage ni mboga au futari?Kwakuwa ile DVD ya kwanza ilitengenezwa na mchaga nikajua hicho ndio kigezo, my bad basi nafuta uchaga nipeni hiyo dili na mimi mkristo mwenzenu.
Uchaga umechaukana tayari unauzungumzia ukristo! Duuuh mjepu punguza bwebwe wewe ni fisadi nini huoni nchi inavyokwenda Mrama? Polisi wana siku kama kumi tu za kuwalinda, siku ikisomwa bajeti yao wakajua wameacha solemba ndipo utapojua maharage ni mboga au futari?
Mpwaaa!!mwambie ukweli...........@an@***** na babayake mdogo
:bored::bored::bored::bored::bored:Kwakuwa ile DVD ya kwanza ilitengenezwa na mchaga nikajua hicho ndio kigezo, my bad basi nafuta uchaga nipeni hiyo dili na mimi mkristo mwenzenu.
Hakuna mchaga mjnga kama wewe, usijifagilie hapa eti mi mchaga mwenzenu! To hell na hayo mawazo yako ya kijinga!
Wala usihangaike mimi nitakufinance kwa kila kitu ila sharti uende kule NEC ukatutengenezee hiyo documentary, sawa Mjepu.Kweli mtu mzima hili bonge la dili ila sasa hadi kupenya huko NEC ndio kazi ngumu, niwezesheni kwanza na hii ya mauaji ya kesho nikipata nguvu ya kiuchumi nitaenda na Chimwaga.
Nilifikiri kama yule wa CCM mwenye kashfa ya kutaka kuua lakini anakula bata uraiani nitajie ni nani yule nikupe dili uliyoiomba?Kaka mimi siogopi nimeamua kuwa mjasiriamali wa vurugu kama mbunge wangu wa arusha mjini.
Nilifikiri kama yule wa CCM mwenye kashfa ya kutaka kuua lakini anakula bata uraiani nitajie ni nani yule nikupe dili uliyoiomba?