Duuuu hali mbaya had mtu unawaza uanzie wapi kuzisaka

Duuuu hali mbaya had mtu unawaza uanzie wapi kuzisaka

Joined
Aug 23, 2016
Posts
15
Reaction score
4
ccbb7a4cfa37912b78f7765353e6eb05.jpg
 
Daah. sura yako very innocent.. Dizaini hiyo lazima haya maisha yakunyanyase.
 
Ajira ngumu na fedha ni shida kitaa, si mmeona le profeseri Lipu kitaa kilimchanganya mpaka akaomba msaada wa Lumumba kuirudia ajira yake! Yaani ni balaah!
 
  • Thanks
Reactions: ydn
Pole mkuu! Nilikuwa kwenye hayo mazingira ila nilipoamua kuweka vyeti vyangu pembeni maisha yalibadilika na mambo yanaenda. Thanks God
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom